Nikutunzie nyumba yako Dodoma

Koffi Annan

JF-Expert Member
Dec 23, 2018
1,367
3,635
Habari wakuu na wakubwa zangu;

Nipo hapa kujaribu bahati yangu kutoka kwenu, Inawezekana una nyumba Dodoma na huwa unaitembelea mara chache au unataka kuajiri mtu wa kutunza mazingira kiujumla, kama tujuavyo nyumba ikikaa bila kuishi mtu huwa inachakaa mapema;

Hivyo usisumbue kichwa mimi nipo hapa unaweza kuniruhusu niishi nyumbani kwako na nitakutunzia vizuri kabisa wala huna haja ya kumlipa mtu ili aishi hapo au kuwa na stress za usalama, kama haina furniture pia usiwe na wasi kwani nina furniture za kawaida zinazokidhi mahitaji ya geto.

Mimi ni kijana wa kiume 24 aged nimeajiriwa hivi karibuni katika kampuni mojawapo inayojulikana hapa nchini; na lengo langu kujaribu hii bahati ni katika kubana matumizi kwenye kodi incase nikibahatika.

Kwa uliye na nafasi ya kunibahatisha sitasita kukupa utambulisho wa familia yangu hapa Dodoma na hata wazazi nyumbani kwani najua binadamu wa sasa hatuaminiani.

Regards.
 
Hivi mtu hata kama haikai hiyo nyumba aache kukodisha akupatie uishi bure umekuwa ndugu yake??

Dodoma wenye nyumba wanapiga sana hela chumba na seble tu 250k, kisasa, makulu,ipagala, Area A, Area C n.k
 
Habari wakuu na wakubwa zangu;

Nipo hapa kujaribu bahati yangu kutoka kwenu, Inawezekana una nyumba Dodoma na huwa unaitembelea mara chache au unataka kuajiri mtu wa kutunza mazingira kiujumla, kama tujuavyo nyumba ikikaa bila kuishi mtu huwa inachakaa mapema;

Hivyo usisumbue kichwa mimi nipo hapa unaweza kuniruhusu niishi nyumbani kwako na nitakutunzia vizuri kabisa wala huna haja ya kumlipa mtu ili aishi hapo au kuwa na stress za usalama, kama haina furniture pia usiwe na wasi kwani nina furniture za kawaida zinazokidhi mahitaji ya geto.

Mimi ni kijana wa kiume 24 aged nimeajiriwa hivi karibuni katika kampuni mojawapo inayojulikana hapa nchini; na lengo langu kujaribu hii bahati ni katika kubana matumizi kwenye kodi incase nikibahatika.

Kwa uliye na nafasi ya kunibahatisha sitasita kukupa utambulisho wa familia yangu hapa Dodoma na hata wazazi nyumbani kwani najua binadamu wa sasa hatuaminiani.

Regards.
Ili baadae uje useme yako.
 
Back
Top Bottom