Nikupe Siri kuhusu UKIMWI

Endeleeni kudanganyana hapa.
Mwili ukishatengeneza Kinga dhidi ya virusi hiyo Kinga itakuwepo milele.
Kinachakuwa undetected Ni uwingi wa wadudu kwenye damu kwani replication rate inakuwa approx zero.

Pia Kuna five percent ya false positive na false negative kwenye majibu ya vipimo vyetu.
Hivyo Kuna asilimia tano wanatumia ARV wakati Ni negative na asilimia tano walikuwa denied ARV wakati Ni positive.
Kuna vipimo fake vilikuwepo miaka kadhaa.
Ndio maana mtu anapima Leo anaambiwa umeathirika anachanganyikiwa na kwenda kuombewa. Baada ya kuombewa anapima sehemu nyingine anaambiwa yuko negative. Hakuna miujiza hapo.

Tumieni Kinga kwa ufanisi. Ukimwi upo na Kuna watu dawa zinawagomea.
 
Hujaupata ndo maana unaona it's easy,ugonjwa wa UKIMWI initially unaanza kukuharibu psychology yako and mental disturbance ndo uje body/physical torture...worldwide mental diseases are difficult to cure,play safe fellow!!
 
Lakin huu ugonjwa wamesema ni wauongo
 
Acha ku mislead people
 
Hujaupata ndo maana unaona it's easy,ugonjwa wa UKIMWI initially unaanza kukuharibu psychology yako and mental disturbance ndo uje body/physical torture...worldwide mental diseases are difficult to cure,play safe fellow!!
Yote ayo utokea baada ya muda gani. ukishapata maambukiz!??
 
Kwani ni mda gani pendekezo ili virus kuonekana kwenye damu na vpmo!???
 
Inashangaza kidogo,MJOMBA wangu hana ukimwi lakini shangazi yangu ameathirika,na wanaishi pamoja.kinacho shangaza zaidi wanazaa!
 
Ukishaanza kumeza ARV akiri huwa zinakuja zenyewe tu,nenda ma hospitalin ukawaone watu wanavyosubiria ARV
 
viral load chini ya 50copie per mill ....ningumu kuambukiza ndomana kunakitu kinaitwa discordant pouple( yaani ni famili ambayo mwenza mmoja ameathirika na mwingine hajaathirika).....na hii inawezekana kumbuka kuna mpango wa 90 90 90 ...kuhusu huu ugonjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…