shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,373
Kuna ambalo utakuwa umepewa....huwezi kosa vyote bi mkubwa
faraja kubwa hii
Kuna ambalo utakuwa umepewa....huwezi kosa vyote bi mkubwa
yaani sijui kwann wengine tumenyimwa
Chejea cheat weyeee....atakurudishia idadi ile ile lakini za matumizi atachukua kwa Duka la Dawa Maalum
ngoja uwe miss kwanza swty wangu
Hivi huyo mdada anakalia sofa kwa sababu gani.... kavutika nyuma ka Lady doctor..
hahahaaa mwanamke kalio babuuuuuuu!!!!!!
ndo nini hiyo baba?
![]()
Huyu naye!! Badala ya kuangalia kamera anaangalia nini sijui??
ndo nini hiyo baba?
Damn mine old age... ingekuwa ndo kipindi kile cha ujana wangu... napiga mechi hadi nje ya uwanja na hakuna cha kiatu wala soksi mguuni...!! where have they gone them good days...!
Mpwa huyu Mungu huyu kweli fundi...hebu angalia neema kama hizo!!!
Darling.......