Kadamnasi
Member
- Feb 18, 2017
- 87
- 41
Samahani, poleni na majukumu wakuu na sitaki kuwachosha, naomba nielekee kwenye mada moja kwa moja.
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja kipindi fulani, nikaamua kuachana naye kwasababu ninazojua mimi tu, naniweza kumwandikia message " aniache nitulize kichwa changu" maana nilihisi mapenzi ni utumwa kwangu.
Imepita four months ameamua kunipigia simu, vipi wakuu nikubali au mnasemaje? Naombeni ushauri (bubbles are allowed).