Nikosoe kama nimekosea kuhusu UTT Liquid acc

Nikosoe kama nimekosea kuhusu UTT Liquid acc

Fanya tafiti zako vizuri. Wakati UTT inaanzishwa thamani ya kipande ilikuwa 100 sasa hivi ni kama 1400 kama sikosei. Ndio maana wataalamu wa kubeti kwenye uchumi sasa hivi wana beti kwa kununua vipande vya watumishi housing ambavyo nadhani ni FAIDA FUND ambavyo kwa sasa vinauzwa 140 wakiamini ipo siku itafika kwenye 1,000 +
Sio 1400 mkuu mimi najua bond fund 122 na liquid nadhan 500 ,, mifuko mingine 1000 ,, hiyo ya kuongezeka thamani ndio hiyo 12% utakayolipwa kwa mwaka au 11% au 15% lakin sio useme unapata faida mara mbili ,, ni asilimia tu labda na compound interst usipotoa fada
 
View: https://www.instagram.com/reel/DWO51axthtb/?igsh=MTdpNGVrbWI5eW1lcg==

Mkuu labda nimemwelewa vibaya huyu mwalimu maana uchumi sijasoma naomba ufuatilie kama una muda yawezekana akawa wrong au nimekuwa na uelewa tofauti
 
Back
Top Bottom