Nikopeshe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikopeshe

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Viol, Jun 11, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  DEVI:Hello James mambo? za siku
  nyingi aise?
  JAMES: Poa tu vipi mambo ? Siku
  nyingi hatujawasiliana, nambie
  nini kipya?
  DEVI: Aise nina tatizo
  JAMES:Nini tena rafiki yangu?
  DEVI: Aise naomba unikopeshe
  hela kidogo nina shida
  ntakurudishia wiki ijayo
  JAMES: Hallo hallo, hebu rudia
  sijakusikia sawasawa
  DEVI: Naomba unikopeshe hela
  kidogo
  JAMES: Haloo Devi, mbona sikusikii
  haloo, aise hawa Tigo netwek
  mbovu sana hala Deviiiiiii
  TIGO CUSTOMER SERVICE: Oyaa
  acha uwongo, netwek iko poa
  jamaa anasema mkopeshe pesa
  kidogo atakurudishia wiki ijayo
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Yanki katoka kwao kijijini kaja Dar
  katika hangaika yake akapata
  nafasi Bongo Movie, akapewa
  kipande ambacho aliekt
  kagongwa na gari akafa. Filamu
  ikasambazwa ikafika kijijini kwao
  mama yake kuona alilia sana
  akijua mwanae kisha kufa. Baada
  ya miezi miwili jamaa alipata
  nafasi ya kurudi kumsalimia
  mama yake, kwanza watu wote
  kijijini walimkimbia hata mama
  yake aliulaza, baada ya
  kuwabembeleza na kujieleza
  wakatulia, akampa mama yake
  laki mbili na nusu alizomwambia
  alipata kutokana na kugongwa na
  gari. Siku anaondoka mama yake
  akaona ampe baraka mwanae,
  'Mwanangu ulipogongwa na
  kagari kadogo ulipata laki mbili na
  nusu, Mungu akusaidie ugongwe
  na basi safari ijayo urudi na
  milioni 2'
   
 3. dudupori

  dudupori JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  hahaaaa angemwombea kabisa agongwe na treni ili avute mkwanja mnene.
   
 4. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,209
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Ameen!!
   
 5. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Mkuu hii ni kali sana, nimeikubali, duuu!
   
 6. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  hahaha itabidi aigize anagongwa na treni
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  haleluya
   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  pamoja mkuu
   
Loading...