Niko Sinza nachunwa

Kumbe ni wewe. Nilikuona ulivyokuwa unatia huruma. Ila dodo kali yule. Umemuopoa wapi jamaa yangu?
 
make sure unahakiki kama yuko period kweli, asije akawa amevaa pedi tu
 
lkn mkuu, hiyo rangi ya njano imenipa ukakaso coz n km ya chama flan. siji kukuokoa maana hiyo rangi siipendi. sorry
 
Reactions: RFP
Kwan umeshikiliwa hapo mkuu? Ww sepa na hizo ndio hasara z kuchepuka. Hizi hela unazospend hapo bora ungezipeleka kwa familia yako
hela za kuchepuka anazo, na hela za kupeleka kwa familia anazo!
 
Duuuuuuuu, hivi watu wa aina yako bado mpo dunia hii...?? Dem kama hujawahi kumla, dawa yao unamaliza kabisa uko pouwaaa???
 
Hahahaaaaa.....
 
Pole mkuu! Ulitakiwa umwambie umepata emergency! Kuna family matter@
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…