Niko Sinza nachunwa

Labda Na yeye ameshakugeuza kiwanda kimojawapo kati ya vile viwanda vipya 1800
 
Pole sana endelea kuugulia maumivu taaratibu
 
Sometimes jamii forum ni comedy tosha
 
Nimekuona tayari aisee mbona umeanza kuwa mzee ghafla shavu limekushuka hlo mwambie muhudumu bill nitalipa mimi nipo counter hapa umeniona sijui?
 
Mkuu mbona kawaida kwa watani wetu wa jadi kusema hivyo....Hapo kikubwa muwekee vikwazo vya kiuchumi gafla.
 
Kwani na Mori kuna Catalunya pia?
 
Kwani makubaliano yenu yakoje, au ulitaka ufanye kumshtukiza. Yaan kumtoa out mara moja tu ndio umetoa malalamiko kibao,khaaa ungeombwa kodi ya nyumba je?
 
Chomoka usepe
 
Weekend iko poa sana kwa upande wako mkuu. Usinune maana hujui unaepushwa na madhila gani
 
Nadhan kisu chakukuchunia hakina makali usingesema!!chunwa tu BG!
 
Siku nyingine unamwambia kabisa "nataka ukanipe raha mie" aje amejiandaa kwa mziki.
 
Tafuta mwingine wa fastet...

Hayupo period huyo... anatumia dawa za UTI...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…