Niko single eti wananishangaaa

Niko single eti wananishangaaa

Ubaya upo...inamaana we jogoo akiwika unampozea wap? Au hawiki
 
usiumie kichwa na maneno ya walimwengu kuna watu wapo kufuatilia ya watu yakwao yanawashinda we watupie kisogo tu
 
Hivi dunia hii kuna watu bado wanafuatilia maisha ya watu mpaka kuumwa na kichwa??? Idiot
 
Ila naomba ufafanuzi tuu kwani kuwa mwanachama wa Chaputa na pia unakuwa Single au vipi
 
Hakuna shida yoyote mbona labda uwe single KY ndo inaweza leta tabu kwa jamii.
 
Jaman kaka usijali si lazma kuwa na uhusiano wakati sahihi ukifika utakuwa nao usiingie kama fashion aisee. Better wait long than dating or marring wrong. Nimejifunza hili now sijiskiii kuwa na uhusiano and sitaman kabisa nasema wakati ukifika na mtu sahihi itakuwa Ni nzuri zaidi kuliko kujihusisha na uhusiano usio na muelekeo. Jipe moyo wakati ukifika you will have someone utakaeona perfection katika imperfections zake nawe utafurahi. Usidate for fun
 
Ubaya upo.

1. Hakuna Raha kama Raha aipatayo mtu kwa kuambiwa na mpenzi wake umependeza, pole "baby" kwa kujikwaa, "baby" mbona hunyoi ndevu, baby siku hizi nikitembea miguu inauma naomba uninunulie usafiri, n.k

2.Ni furaha kubwa kutambua kuwa kuna mtu nyuma yako anaeteseka kwa ajili yako.

3. Kama ilivyo Ada, ukila chakula unahitaji nguvu uliyoipata uifanyie kazi.
 
  • Thanks
Reactions: irk
hujishtukiii mpaka wanakushangaaaa??? embu jiongeze selaaa
 
Dunia ya sasa lazima washangae, mawili hujakamilika ama kuna mahala hapako sawa.
 
Back
Top Bottom