Santiago Chile; au La Paz Bolivia??Mimi nilipitwa kidogo na huu uchaguzi kwani nchi niliyohamia iko kushoto kidogo na dunia na ni mtanzania peke yangu hapa.
Ebu nijulisheni nyie mliopiga kule huko USA, UK, kenya, Saudi Arabia, Japan na kwingineko, je upigaji kura ulikwenda vizuri? Je matokeo ya kura zenu yalitangazwa pale pale ubalozini (sehemu mliyopigia kura)? Kama hamkutangaziwa basi nayo yalichakachuliwa?
Serikali ifanye juu chini ili nami mwaka 2015 nipige kura huku huko na kusomewa matokeo.
Ha ha haaaaaaaaaaaaaa hata ww umemshtukia kumbeeeeeeeeeeeeee!Post nyingine bana...
Mimi nilipitwa kidogo na huu uchaguzi kwani nchi niliyohamia iko kushoto kidogo na dunia na ni mtanzania peke yangu hapa.
Ebu nijulisheni nyie mliopiga kule huko USA, UK, kenya, Saudi Arabia, Japan na kwingineko, je upigaji kura ulikwenda vizuri? Je matokeo ya kura zenu yalitangazwa pale pale ubalozini (sehemu mliyopigia kura)? Kama hamkutangaziwa basi nayo yalichakachuliwa?
Serikali ifanye juu chini ili nami mwaka 2015 nipige kura huku huko na kusomewa matokeo.
Mkuu preta,
Nimeshindwa kukugongea ka-thenks sbb natumia mobile version. By the way comments zako made me lough!!!
Kuna post nyingine hapa jamvini, zinakufanya urilax na ucheke kidogo hasa baada ya kusoma zile za bifu la mzee wa vijisent na six...eti mtanzania yuko peke yake bolivia, duh!
Mimi nilipitwa kidogo na huu uchaguzi kwani nchi niliyohamia iko kushoto kidogo na dunia na ni mtanzania peke yangu hapa.
Ebu nijulisheni nyie mliopiga kule huko USA, UK, kenya, Saudi Arabia, Japan na kwingineko, je upigaji kura ulikwenda vizuri? Je matokeo ya kura zenu yalitangazwa pale pale ubalozini (sehemu mliyopigia kura)? Kama hamkutangaziwa basi nayo yalichakachuliwa?
Serikali ifanye juu chini ili nami mwaka 2015 nipige kura huku huko na kusomewa matokeo.
kweli baba nimestaajabu hata mimi mana nilikuwa najua Santiago ipo Chile tu,maana hata Lebanon kuna mji unaitwa Tripoli pia,Mwanza ndani ya Malawi<H1 class=largetitle>Santiago (La Paz, Bolivia)
</H1>
Santiago is a populated place in the La Paz region of Bolivia. An overview map of the region around Santiago is displayed below.
Search for hotels in or around Santiago
regional and 3d topo map of Santiago, Bolivia ::
Tatizo la Watanzania ni kujikita kwenye habari za nchi zilizoendelea pekee na kusahau geography ya nchi hizi ndogondogo hasa za America kusini. Bado naendelea kukuaminisha kuwa kuna Santiago hapa Bolivia, Damascus huko Maryland (USA) Birmingham huko Alabama (USA) na Moscow- Dar es salaam, Tanzania na kwingineko.
Lakini mada hapa ni je, nyie wenzangu mliopo nje ya Tanzania mlipiga kura?