Mimi nilipitwa kidogo na huu uchaguzi kwani nchi niliyohamia iko kushoto kidogo na dunia na ni mtanzania peke yangu hapa.
Ebu nijulisheni nyie mliopiga kule huko USA, UK, kenya, Saudi Arabia, Japan na kwingineko, je upigaji kura ulikwenda vizuri? Je matokeo ya kura zenu yalitangazwa pale pale ubalozini (sehemu mliyopigia kura)? Kama hamkutangaziwa basi nayo yalichakachuliwa?
Serikali ifanye juu chini ili nami mwaka 2015 nipige kura huku huko na kusomewa matokeo.