Niko Santiago Bolivia, sikupiga kura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Niko Santiago Bolivia, sikupiga kura

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by shilanona, Nov 9, 2010.

 1. s

  shilanona Member

  #1
  Nov 9, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nilipitwa kidogo na huu uchaguzi kwani nchi niliyohamia iko kushoto kidogo na dunia na ni mtanzania peke yangu hapa.

  Ebu nijulisheni nyie mliopiga kule huko USA, UK, kenya, Saudi Arabia, Japan na kwingineko, je upigaji kura ulikwenda vizuri? Je matokeo ya kura zenu yalitangazwa pale pale ubalozini (sehemu mliyopigia kura)? Kama hamkutangaziwa basi nayo yalichakachuliwa?

  Serikali ifanye juu chini ili nami mwaka 2015 nipige kura huku huko na kusomewa matokeo.
   
 2. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2010
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,400
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180
  Santiago Chile; au La Paz Bolivia??
   
 3. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2010
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hata mimi sikujua kama hata BOlivia kuna Santiago mimi nildhani La Paz tu
   
 4. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Post nyingine bana...
   
 5. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #5
  Nov 9, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ha ha haaaaaaaaaaaaaa hata ww umemshtukia kumbeeeeeeeeeeeeee!
   
 6. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #6
  Nov 9, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  nia yako ni kutujulisha upo latin america au nini......umechemsha.....Santiago na Bolivia nadhani hata wewe mwenyewe unaisikia tu ....watu tuko Mars na tumetulia...na uache uzushi....umesikia wapi waliopo nje ya tz walipiga kura...watz wenyewe hawakupiga kura nje ya sehemu waliyojiandikishia....acha kutuletea mambo ya upapasi hapa
   
 8. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #8
  Nov 9, 2010
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu preta,
  Nimeshindwa kukugongea ka-thenks sbb natumia mobile version. By the way comments zako made me lough!!!

  Kuna post nyingine hapa jamvini, zinakufanya urilax na ucheke kidogo hasa baada ya kusoma zile za bifu la mzee wa vijisent na six...eti mtanzania yuko peke yake bolivia, duh!
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Nov 9, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  ha ha...mimi nimekugongea.....asitusumbue huyu bana...Santiago Bolivia kitu gani....ramani yenyewe hata hajui
   
 10. s

  shilanona Member

  #10
  Nov 9, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <H1 class=largetitle>Santiago (La Paz, Bolivia)

  </H1>[​IMG]
  Santiago is a populated place in the La Paz region of Bolivia. An overview map of the region around Santiago is displayed below.
  Search for hotels in or around Santiago[​IMG]

  regional and 3d topo map of Santiago, Bolivia ::

  Tatizo la Watanzania ni kujikita kwenye habari za nchi zilizoendelea pekee na kusahau geography ya nchi hizi ndogondogo hasa za America kusini. Bado naendelea kukuaminisha kuwa kuna Santiago hapa Bolivia, Damascus huko Maryland (USA) Birmingham huko Alabama (USA) na Moscow- Dar es salaam, Tanzania na kwingineko.
  Lakini mada hapa ni je, nyie wenzangu mliopo nje ya Tanzania mlipiga kura?
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Nov 9, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Sikuweza piga kura kwa kweli ile week ya uchaguzi nimekuwa kwenye mabara 3 kwa muda wa siku 8! Majukumu ya kikazi. Nafurahi kuona mabadiliko yanakuja pole pole, bila wizi wa kura nadhani sura ngeni za upinzani zingekuwa nyingi.

  2015 nitapiga kura nikiwa mgombea ubunge kupitia upinzani

  Mch Masa
   
 12. g

  gutierez JF-Expert Member

  #12
  Nov 9, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  kweli baba nimestaajabu hata mimi mana nilikuwa najua Santiago ipo Chile tu,maana hata Lebanon kuna mji unaitwa Tripoli pia,Mwanza ndani ya Malawi
   
Loading...