salma juma
Member
- Oct 28, 2010
- 38
- 3
- Thread starter
-
- #101
nimerudi ndugu,unalolisema halina ukweli hata kwa aslimia 0,ulomtaja hana mume mie nna mume mtu wa mbeya,ulomtaja anamtoto molato mie mtoto wangu mswahili kuanzia rangi mpaka nywele,ulomtaja mwanae ana miaka saba wangu anamiaka 14....ila yeye ndo mwanzo wa mimi kuuliza swali langu lakini nlichokipata mungu anajua.Mmenihukumu kwa nisiyoyatenda wala si tabia zangu..kama ntaendelea kuwamo humu utagundua nani ni nani mpendwa sina haja ya kuchezea akili za watu.Ninamaanisha SHOSTI member wa JF ndiye Salma Juma. Kajisahau akiwa kalog in kama SHOSTI akajibu post kama SALMA JUMA. Mineisoma wakati naiquote ili kumwambia nilimwambia hapo juu, akawa tayari kaifuta.
Ninamaanisha SHOSTI member wa JF ndiye Salma Juma. Kajisahau akiwa kalog in kama SHOSTI akajibu post kama SALMA JUMA. Mineisoma wakati naiquote ili kumwambia nilimwambia hapo juu, akawa tayari kaifuta.
sijaelewa inakuwaje mtoto mmoja awashinde muongeze wengine...
kiukweli unanihukumu kakangu,mungu atanisimamia kwa hili na lingine.....Amin.Bila kuacha kiburi hata huyo mmeo akikuacha hutapata mme tena,hadi ung'oe kiburi chote na majivuno!
Nahisi wakati ana kuchumbia ulikua mpole kweli duh,so bad jamaa hayumo JF angetwambia
kiukweli unanihukumu kakangu,mungu atanisimamia kwa hili na lingine.....Amin.
usiku mwema mpendwa.Samahani sana dadangu..
Ila inaniwia vigumu sana kukuamini,...nime jilazimisha sana nimeshindwa!
Naamini unafaa kuwa muigizaji kabisa sister,...
usiku mwema mpendwa.
Samahani sana dadangu..
Ila inaniwia vigumu sana kukuamini,...nime jilazimisha sana nimeshindwa!
Naamini unafaa kuwa muigizaji kabisa sister,...
Samahani sana dadangu..
Ila inaniwia vigumu sana kukuamini,...nime jilazimisha sana nimeshindwa!
Naamini unafaa kuwa muigizaji kabisa sister,...
hapa tutachangia mpaka bahari ikauke, lkn tufanyacho ni sawa na kulima juu ya mwamba kwa sababu za tatizo hapa hazikutajwa, hili suala ki undani c hv lilivyo.
Hapo kwenye Red Umejuwaje kama tatizo ni la mwanaume? Naona kama mtoa mada hajasema chcoche kilichomfanya mumewe asiwe karibu na familia.
Ameulizwa swali na mchangiaji hapo juu naona analikwepa, Ameulizwa ''Ulishamsaliti mumeo kwa kutoka nje'' hajajibu. Haiwezekani mwanaume aijali familia ya mkewe ila asimjali mkewe lazima mwanamke umechangia kwa njia moja au nyingine kumkimbiza mbali mumewe. Yawezekana na wewe dada unarefusha mabega kutaka uwe kichwa cha nyumba kitu ambacho mumeo hakikubali bali kukupuuza. Labda unaongea sana, mbele ya mtoto wenu unaongea vibaya kumkandya mumeo... hiyo nayo inaweza kufanya mumeo akupuuze maana anaona hujampa nafasi kama baba wa nyumba kila kitu unajifanya ni wewe.
Unasema mumeo anatowa matumizi yote ya familia ila ukaribu tu kwa familia ndo haupo... Haingii akilini kwa mtu wa kuhudumia familia asijali familia dada lazima na wewe kuna kitu ulikifanya kikamuumiza mumeo na hukuomba msamaha au ulifanya jeuri.
Unalalamika wachangiaji wengine wanatoa ushauri wa kukupinga, nadhani ni haki wa wachangiaji kupima maneno uliyotowa na wakatowa comments zao kwa kadili wanavyoelewa. Si lazima wote wakubaliane na wewe hata kama wanaona wewe ndo mwenye matatizo.
Kwa mwanaume kutokuwa karibu na mtoto wako tu kweli ndo kilicho kutowa chumbani na kuamia chumba kingine au kuna lingine hutaki kusema? Kwa mwanamke mcha Mungu usingezigi kuweka gap kiasi hicho na mumeo kwa kukimbia chumba. Kuhama chumba ni kuongeza tatizo zaidi ya kulipunguza. Umehama chumba umepata unafuu wowote hadi leo? Rudi chumbani kwa mumeo, na Ujishushe Uombe samahani kwake umwambie kama kuna kosa ulilifanya basi akusamehe.... hii yote kujionyesha kwake kuwa unampenda na bado unamuhitaji katika maisha yako. Acha jeuri/ukolofi kwa mumeo. Huyo ndo uliyempenda na kukubali awe mumeo,... mapungufu ni ya binadamu, jishushe kwa mumeo na zaidi mpe mumeo nafasi yake kama baba wa familia. Juwa wajibu wako kama mama na umwachie mumeo wajibu wake kwa familia na kwa mtoto.
Zaidi, Muombe Mungu akusamehe kwa mapungu uliyonayo, akailinde ndoa yako na familia yako. Akakuongoze katika kuongea kwako ili usimkwaze mumeo bali ukaongee yale yatakayoijenga ndoa yako.
nashukuru mpendwa kwa ushauri wako ntautekeleza japo mgumu kumeza,kiukweli mume wangu hachelewi kurudi nyumbani huwa anarudi wakati mwingine kabla yangu,laikini hata akirudi hwezi kumkuta mtoto akajaribu hata kuongea nae mawili matatu,nikirudi naanda msosi ukimuita anasema endeleeni nakuja mkibmaliza anachukua sahani yake anaanza kula...ungekuwa weye iungemwelewaje huyu mwanaume zaidi ya kuchukia tu...
kwa kusoma majibu ya huyu anayejiita salma juma nimegundua tabia hizi toka kwake kwa huu muda mfupi tu niliofuatilia hii thread yake.
1-mkali
2-jeuri
3-hapendi kukosolewa bali anapenda kusifiwa tu
4-anajifanya yeye mtakatifu hamkosei mumewe/si mkosaji hata kidogo
5-ni mtu wa kujikweza si wa kujishusha
6-anachoamini yeye analazimisha na wengine waamini hivyohivyo pasipo kuhoji .
7-ni mtawala
8-anapenda kupokea misaada si mtoaji wa misaada
9-mkaidi
10-Ana mpango wa kando,for 4years kanogewa anataka njia ya kumuacha mumewe
hizo tabia za huyu dada hauwezi kuzigundua haraka ila mpaka usome thread yake na maoni ya wanajf pamoja na majibu yake kwa wanajf.
mwanamke wa aina hii kujenga nyumba yake ni ngumu sana.
huyo mwanamme kuishi na mwanamke wa aina hii miaka yote hii anastahili pongezi.
mwanamke wa aina hii hastahili kuolewa bali kuwa single parent tu.
nadhani tungepata bahati ya kusikiliza upande wa mumewe angesema zaidi ya haya niliyoyasema.
pole sana salma nawe labda ndivyo ulivyoumbwa, ila fahamu hakuna binadamu mtakatifu wote waja wa mungu tuna mapungufu yetu, ndiyo maana tuna mungu,makanisa na misikiti ili tukaombe msamaha huko na kuomba baraka,hekima,utu,na busara ktk maisha yetu. Hiyo ndoa yako haina matatizo makubwa sana ila wewe umelazimisha yawe makubwa na magumu kwa hizo tabia zako chache nilizoorodhesha hapo juu,
pole sana ila kwa mungu yote yanawezekana.
hata mie nahisi huyu dada ana matatizo,sijaona tatizo kubwa kiviiile kny ndoa yake.....salma ushukuru kupata mume mpole kama huyo,ungepata mume mzinzi,mlevi asiyetoa hata senti kwa familia yake sijui ungefanyaje????eti kutoijali familia yake ndio kumekukimbiza chumbani??????its sooo hard for us to believe this????haimake sense kabisaa dada yangu!
Hapo kuna jambo, dada anataka kuvunja ndoa, kafanya vituko aachwe hajaachwa. Sasa anatafuta sababu ya kuacha.
Huyu mama/dada anataka kubomoa na hapa anatafuta symphathy. Tatizo hapa ni yeye mwenyewe, asuke au anyoe at herr own risk.
JF tunatoa ushauri wa kujenga na si kubomoa; na ushauri huo unatolewa kuendana na tatizo lenyewe, tunasema ukweli unaostahiki. Ila kwako mleta mada tatizo ni wewe narudia tena, unachofanya si sahihi.