Kwa mfano wewe ungekuwa umeshaonana na Leah ungekuwa na the same character
Ili kumridhisha uliye nae ungekuwa unamkumbuka kwanza Leah na ndio mambo mengine yapande
HAhahahaha tushawahi kulala pale tena kwenye gari hadi saa kumi alfajiri basi likapita ndo wakaturuhusu
Ni noma wale afande wanajifafanya wakatili na wanajali usalama mbaya klumbe wenyewe wanashirikiana na mijamaa huko mbele ya kuwafanyizia watu
Mkuu I'm verry funny, alafu nashangaa hawa jamaa kitufe cha "LIKE" sijui kinamiguu au wanafikiria na sisi tunatumia cm
Mkuu kama ulikuwepo ni home kabisa!Kinapotea na kurudi
Mkuu na wewe ni wa huko nini mkuu
Mkuu kama ulikuwepo ni home kabisa!
Leo naona kama kuna katatizo JF kwani mchana niltaka kujiunga nikatumia karibu dakika kadhaa ndio nikawa online JF.
ha ha ha ha.Life z really crazy.Nyuma ya pazia kuna mambo mengi sana
Ndani ya ndoa kuna mambo, na yote kunahitaji busara yako mwanaume, Kuna siku natoka safari tumbo limenikaza ile mbaya nafika tu mama anataka kumuomba nijpumzishe ugomvi "huna hamu na mimi"
Mzee mzima mbona ilinibidi kuzama Phamacy faster kitu super viagra, kwa mara moja ili nyumba iwe na usalama ndani.
kuwa wangu Freeland ndoa ndoano.
Haya mkuu
Mengine tutafahamishana kwa karibu
Tumsaidie mshkaji hapa aachane na mawazo mgando hayo
poa mkuu!
Jamaa yetu inabidi akubaliane na hali jinsi ilivyo.
Mkuu,Ndio ni LEAH. Ukiniuliza ni kipi hasa sitaweza kukisema hasa na hata mimi sikijui ni kipi hasa.Kwa sababu kama ni uzuri wa sura huyu wa saivi kamfunika,tabia jibu sina kwa aliyoyatenda.Lakini moyo wangu unakuwaga na amani na furaha ya pekee ninapokuwa nae hata kabla sijafanya nae mapenzi.Ndo hivo mkuu
Ndio maana tunajitahidi kumuelewesha ndugu yetu hapa!Huo ni utegemezi wa kihisia mkuu, ni ugonjwa mbaya hakuna hapa duniani na kama ukilazimisha kumuoa atakuendesha kweli kwa sababu anajua wewe ni dhaifu kwake yaani umemfia na hapo ndipo watu husema umelishwa LIMBWATA.
Mkuu we acha na hivi wenzetu wanamawazo mabaya juu yetu, yaani usipompa ile kitu hakuelewi kabisa.
Ndio maana tunajitahidi kumuelewesha ndugu yetu hapa!
Mkuu we acha na hivi wenzetu wanamawazo mabaya juu yetu, yaani usipompa ile kitu hakuelewi kabisa.
Alafu jamaa yetu alingizwa choo cha kike na Leah! unaweza kuta alikuwa anamegwa nje akija kwa jamaa anaambulia maromance ya kufa mtu, alivyonogewa akajua mchizi ataishtukia labda alimtangazia mie bikra! kumbe hamna kitu.Mkuu bado ni mchanga kwenye mapenzi
Na amekumbana na kisa cha kupendwa mara moja basi akaona kila kitu kiko sawa
Kumbe hakugundua kuna kuachwa na kuacha
na ukiachwa life goes on kama kawaida
hahahahaha
Mkuu wacha mambo mengine sio ya kusema
Kwa sisi wenye ndoa mambo mengine tunavumilia wala hatuyatoi nje
Unaweza shangaa mzee mzima umejitahidi weee then unakuja kuambiwa jana perfomance yako ilikuwa zero
Alafu jamaa yetu alingizwa choo cha kike na Leah! unaweza kuta alikuwa anamegwa nje akija kwa jamaa anaambulia maromance ya kufa mtu, alivyonogewa akajua mchizi ataishtukia labda alimtangazia mie bikra! kumbe hamna kitu.
Labda Freeland atusaidie kama dada alimwambia bikra?
Teeh teeeeeh teeeeeh! ndio hivyo mkuu alafu sababu kibao! mara unajua tumbo! nina mchango mara nini............
hahahahaha
Mkuu wacha mambo mengine sio ya kusema
Kwa sisi wenye ndoa mambo mengine tunavumilia wala hatuyatoi nje
Unaweza shangaa mzee mzima umejitahidi weee then unakuja kuambiwa jana perfomance yako ilikuwa zero