I can why not mkuu
Yaani ninachomaanisha msahau Leah taratibu na anza kumuona huyo uliye nae mbadala wa Leah na yapende yale anayoyafanya japo hayafanani na yale ya Leah ila yapende na mpe nafasi ya kukuonyesha upendo wake kwako
Mpe nafasi ya kuchez ana hisia zako
Mpe nafasi ya kukusahaulisha machungu
funguka kwake mwambie wazi hisia zako ziliko na mpe nafasi ya kukurudisha kwenye ulimwengu wenu wawili na sio ulimwengu wa watatu yaani wewe na yeye na Leah
Mpe nafasi ya kuonyesha upendo wake kwako kwa njia yoyote na mjali na yeye mpe nafasi ya kukujali
Usiruhusu lolote kuwepo kati yenu na usimpe nafasi Leah wakati wowote katika mawazo yako
Mr Rocky,
Sasa mkinipa mifano ya mambo kama hayo ya kufanya ndo mtanisaidia zaidi.Huyu msichana wangu wa sasa hajahisi gap lolote,yeye anafurahi,nimejitahidi sana kutomwonyesha yaliyo moyoni mwngu,Haya ninayowaambia ndo yako moyoni mwangu,kwamba yeye najifunza au tuseme najifanya kumpenda kwa kuogopa kumwumiza.Mr Rocky,am i abnormal to love that girl (Leah) like th
Nani eti? Leah?kipi alichokupagawisha nacho?
I can why not mkuu
Yaani ninachomaanisha msahau Leah taratibu na anza kumuona huyo uliye nae mbadala wa Leah na yapende yale anayoyafanya japo hayafanani na yale ya Leah ila yapende na mpe nafasi ya kukuonyesha upendo wake kwako
Mpe nafasi ya kuchez ana hisia zako
Mpe nafasi ya kukusahaulisha machungu
funguka kwake mwambie wazi hisia zako ziliko na mpe nafasi ya kukurudisha kwenye ulimwengu wenu wawili na sio ulimwengu wa watatu yaani wewe na yeye na Leah
Mpe nafasi ya kuonyesha upendo wake kwako kwa njia yoyote na mjali na yeye mpe nafasi ya kukujali
Usiruhusu lolote kuwepo kati yenu na usimpe nafasi Leah wakati wowote katika mawazo yako
Mkuu roby2006;
Hapo kwa Leah ndo mi nilikwama bana,naamini haikua ukubwani bana,Second year sio mbaya
Asante sana Mr Rocky kwa ushauri uliompatia Freeland
Leah hakuhitaji tena katika maisha yake kilichopo songe mbele
yapo maisha mazuri mbele yatakayokusahaulisha huyo Leah kama utakubali kuondokana na mawazo juu yake
nakutakia mafanikio mema kwa huyo uliyenaye utambue kumpenda na kumjali na kusahau yaliyopita
Woow. Proble. ms of first love. Wewe humpendi Leah bali unafikiri kuwa unampenda. Love maana yake ni sacrifice. Sasa ujuwe kuwa Lea kapata mwingine. Kwa hiyo, concentrate efforts na resources zako zote kwa huyu uliyekuwa nae sasa anaekupenda. Everthing will turn out OK for you and your new valentine.
achana na leah, tulia na huyu akupendae.
Asante sana Blaki Womani
Nashukuru kwa kuukubali ushauri wangu
naaona nimeanza nae muda sana japo bado anakuwa mgumu ila kwa kweli inabidi akubali na maisha yasonge
Asifikirie kila kitu ni kinabakia kama kilivyo ila maisha yanasonga hata tunapopata majaribu
utakapomrudia huyo Leah huwezi ukajua lipi litakutoa kwani hujui ni kwanini akikuacha usipoteze muda hebu muombe Mungu wako akusaidie umsahau huyo leah kwani kwa Mungu hakuna lisilowezekana
unarudi kwa leah akupe ugonjwa uishie kufa
unamuacha dada wa watu anayekupenda hebu jifunze kumpenda
yamemkuta ya kumkuta huko ndio maana baada ya miaka minne kakukumbuka leo
Hebu muombe Mungu akupe moyo mpya wa kumpenda huyo dada halafu uone,cha msingi ni kuwa na IMANI...
ALL THE BEST...Mungu akusaidie
anatakiwa kukubali matokeo haya ndio maisha sio wote waliobahatika kuoa/olewa na mtu aliyefikiri ndiye
kupenda kunaumiza na maisha yanatakiwa kusonga mbele
Ni kweli, kusahau huwa ni issue lakini, ngoja nikuulize swali la kizushi..... Ulishawahi kufiwa na mtu wako wa karibu, e.g. Baba, Mama, Dada, Kaka, au mtu mwingine yeyote yule aliyekuwa muhimu sana ktk maisha yako? Kwa kawaida watu huwa tunalia sana, tunaomboleza kwa kipindi kirefu na hata wakati mwingine tunaathiri hata mfumo wetu wa kawaida wa maisha, e.g. kazi, etc. Lakini, as time goes, slowly huwa tunasahau. Sasa kama watu wanaweza kusahau machungu ya vifo vya wapendwa wao, sembuse kumsahau Leah, tena ambaye hajawahi kukufanyia kitu chochote muhimu ktk maisha yako zaidi ya kukuumiza kwa kukutosa? My friend, two things to note, 1. To forgive is Divine, to forget is Human
2. Love can be learnt, so no need to fear. You need not to wait until you lose. It will be like
cooking an empty pot expecting to get a nice soup!
jua alivyokuwa muhimu kwako. Wanaume hatuhitaji sana kupenda, cha msingi ukipendwa ndio salama ya ndoa yako.
Unajua najiuliza
Four years na bado hajakubali matokeo kuwa aliachwa at the time alikuwa anamuhitaji sana
And ameenda huko alikoenda for four years leo anarudi kukutafuta akuambie nini
So na huyo Leah alijua kwa miaka yote minne aliyopotea utakuwa unamsubiri tuu huna maisha yako
Imagine ungekua umeoa na una familia yako ungepokea simu yake na kuacha kumuwaza mkeo uanze kumuwaza Leah aliyekuacha
Ahh hebu rudi kwenye senses zako mkuu
Mr Rocky,
Naona hapa inahitajika maamuzi magumu sana.