Chokochoko
JF-Expert Member
- Oct 15, 2011
- 438
- 183
wapenzi niko njia panda sijielewi, mimi ni mama wa nyumbani kwa0sasahivi sifanyi kazi yaani sina kipato chochote
namtegemea mume wangu kwakila kitu leo mume wangu amesimamishwa kazi
hapa nilipo nategemea kujifungua muda wowote na
madeni0 kibao tunayo majukumu ndio hayo yanakuja, jamani niambieni
nafanyaje? Nimechanganyikiwa.
mmh, pole kwa changamoto inayowakabili... it is all part of life; kaa chini na mmeo mjaribu kutafuta solution kwani huu ndiyo wakati hasa wa kushikamana na kupeana nguvu...
nilimpata dia, na màisha yalienda vizuri hadi sasa matatizo yanaanza sielewi yaaniPole sana chokochoko. Kumbe ulipata mume? Hongera sana sbb nakumbuka ulisema ulihamua kuzaa kwanza. Refer thread yako https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/193838-nimeamua-nitafute-mtoto-kwanza.html.
Kumbe ulihamua kutafuta mtoto huku ukiwa huna kipato? Anyway Mungu atawasaidia mambo yataenda tu vizuri. Kila la kheri!
wapenzi niko njia panda sijielewi, mimi ni mama wa nyumbani kwa0sasahivi sifanyi kazi yaani sina kipato chochote
namtegemea mume wangu kwakila kitu leo mume wangu amesimamishwa kazi
hapa nilipo nategemea kujifungua muda wowote na
madeni0 kibao tunayo majukumu ndio hayo yanakuja, jamani niambieni
nafanyaje? Nimechanganyikiwa.
0
mmh, pole kwa changamoto inayowakabili... it is all part of life; kaa chini na mmeo mjaribu kutafuta solution kwani huu ndiyo wakati hasa wa kushikamana na kupeana nguvu...
sio kwamba sitaki kazi au nimejibweteka hapana kuna0kipindi nilipatwa na matatizo nikastop na baada ya kustop ndio nikapata ujauzito kwahiyo nikaona boqa nimalize hichikipindi cha ujauzito namiezi mi3 ya matinet ndio nianze kutafuta kazi nandivyo tulivyokubaliana na mumeMMMH! Pole sana. Sikusimangi ila najiuliza kitu kimoja! Katika karne hii ya wanawake wanaweza wewe hukuwa na maono yoyote kuhusu maisha ya kesho??? Ulijiandaa kuishi kwa kumtegemea Mwanadamu (Mume) maisha yako yote? wewe hukujua kuna kesho??? Mungu alituumba wanawake kuwa wasaidizi wa waume zetu na sio wategemezi. Mungu akusaidie ujifungue salama na urekebishe jambo hili.
nikweli ila kwasasahivi sijiwezi nasubiri kujifungua muda wowote,0hadi nijifungue kwanzaCartura Hapo umeongea! Tena huyo mbaba ajtahd kuchakarka cio lazma uajriwe ndio maisha yasonge. Anaweza tafuta small busness yeyote na akawa anapata pesa ya kutosha kuhudumia familia.