niko njiapanda nimechanganyikiwa

pole sana Dada kwa kupatwa na majaribu katika kipindi kibaya la kumbuka Mungu ni Mwema alisema mwite naye ataitikia pia yeye n mwaminifu.
 
Pole dada ila kuchanganyikiwa sio solution ya matatizo yenu ya kiuchumi. Mpe moyo mumeo na mshauri atafute kazi yeyote ile itayowaingizia kipato. ALL IN ALL TRUST GOD, HE WILL MAKE A WAY FOR YOU!
 
wapenzi niko njia panda sijielewi, mimi ni mama wa nyumbani kwa0sasahivi sifanyi kazi yaani sina kipato chochote
namtegemea mume wangu kwakila kitu leo mume wangu amesimamishwa kazi
hapa nilipo nategemea kujifungua muda wowote na
madeni0 kibao tunayo majukumu ndio hayo yanakuja, jamani niambieni
nafanyaje? Nimechanganyikiwa.







0
Hakuna jaribu lisilo na mlango na kila jambo linatokea kwa sababu.
 
Nawashukuru sana wote mlionipa moyo na kunifariji nimekubali kweli hii hali ni changamoto tuu kwenye maisha. Jf naikubali sana
 
we unahtaj kupumzika sana kwa sasa cha kufanya jtahid kumpa ushauri nni afanye! yeye ndie anaepaswa kushughulika kwa wakati huu!! lakini utakapokuwa tayari umesha recover usikae tena idle ukisubiri mumeo akuletee kila kitu!! we pia unatakiwa ushughulike ili uongeze kipato na kuleta maendeleo ktk familia!! pole sana coz una mawazo mengi wakati now hutakiwi kuwa unawaza sana!! but amini mungu ni muweza wa yote!! yataisha tu!! na utakuwa na amani tena!!!!!!
 
kupendana ktk shida na raha ndio wakati wake wakujidhihirisha hapo....hapa ndio mawazo ya wawili ktk ndoa yanapohitajika..kaeni angalieni muna kiasi gan mlikiserve bank na mtakifanyaje ili kizidi na sio kupungua...u know wat i mean right
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom