niko njiapanda nimechanganyikiwa

Chokochoko

JF-Expert Member
Oct 15, 2011
438
183
wapenzi niko njia panda sijielewi, mimi ni mama wa nyumbani kwa0sasahivi sifanyi kazi yaani sina kipato chochote
namtegemea mume wangu kwakila kitu leo mume wangu amesimamishwa kazi
hapa nilipo nategemea kujifungua muda wowote na
madeni0 kibao tunayo majukumu ndio hayo yanakuja, jamani niambieni
nafanyaje? Nimechanganyikiwa.

0
 
mmh, pole kwa changamoto inayowakabili... it is all part of life; kaa chini na mmeo mjaribu kutafuta solution kwani huu ndiyo wakati hasa wa kushikamana na kupeana nguvu...
 
Poleni kwa matatizo. Kwanza tulia, usijeharibu hali yako uliyo nayo sasa ili ujifungue salama mumie.
Ukae chini na mumeo muangalie maisha yataendaje ilhali kuna amani na mawasiliano kwenye nyumba mtafanikiwa kidogo kidogo kutafuta uvumbuzi.
Baadae na wewe ufikirie kutafuta kazi ukishamlea mtoto kwa miezi kadhaa...maisha yana changamoto nyingi usikae nyumbani.
 
Pole sana chokochoko. Kumbe ulipata mume? Hongera sana sbb nakumbuka ulisema ulihamua kuzaa kwanza. Refer thread yako https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/193838-nimeamua-nitafute-mtoto-kwanza.html.

Kumbe ulihamua kutafuta mtoto huku ukiwa huna kipato? Anyway Mungu atawasaidia mambo yataenda tu vizuri. Kila la kheri!

mmh, pole kwa changamoto inayowakabili... it is all part of life; kaa chini na mmeo mjaribu kutafuta solution kwani huu ndiyo wakati hasa wa kushikamana na kupeana nguvu...
 
Maisha ndo yalivyo chokochoko, leo unacho kesho huna. Usichanganyikiwa maana wewe ukichanganyikiwa, mumeo ndo atachanganyikiwa zaidi. Muhimu ni kukaa pamoja na kujipanga upya, hakuna aliyeumbwa na kazi, wote tunazipata hapa hapa duniani.
 
wapenzi niko njia panda sijielewi, mimi ni mama wa nyumbani kwa0sasahivi sifanyi kazi yaani sina kipato chochote
namtegemea mume wangu kwakila kitu leo mume wangu amesimamishwa kazi
hapa nilipo nategemea kujifungua muda wowote na
madeni0 kibao tunayo majukumu ndio hayo yanakuja, jamani niambieni
nafanyaje? Nimechanganyikiwa.

0

...dont panic. Hayo yote hayapingani na kiapo cha
"....for better or worse!"
 
mmh, pole kwa changamoto inayowakabili... it is all part of life; kaa chini na mmeo mjaribu kutafuta solution kwani huu ndiyo wakati hasa wa kushikamana na kupeana nguvu...

Umenena vyema mkuu,there is always light at the end of the tunnel,wajipe moyo na yote ni mapito.
 
mapito hayo my dear, kila jaribu lina mlango wa kutokea. Mungu hatokuacha kamwe. ongea nae kwa maombi
 
Pole sana..yote ni changamoto za maisha..muomba Mungu na atakusimamia..
 
MMMH! Pole sana. Sikusimangi ila najiuliza kitu kimoja! Katika karne hii ya wanawake wanaweza wewe hukuwa na maono yoyote kuhusu maisha ya kesho??? Ulijiandaa kuishi kwa kumtegemea Mwanadamu (Mume) maisha yako yote? wewe hukujua kuna kesho??? Mungu alituumba wanawake kuwa wasaidizi wa waume zetu na sio wategemezi. Mungu akusaidie ujifungue salama na urekebishe jambo hili.
 
Cartura Hapo umeongea! Tena huyo mbaba ajtahd kuchakarka cio lazma uajriwe ndio maisha yasonge. Anaweza tafuta small busness yeyote na akawa anapata pesa ya kutosha kuhudumia familia.
 
sio kwamba sitaki kazi au nimejibweteka hapana kuna0kipindi nilipatwa na matatizo nikastop na baada ya kustop ndio nikapata ujauzito kwahiyo nikaona boqa nimalize hichikipindi cha ujauzito namiezi mi3 ya matinet ndio nianze kutafuta kazi nandivyo tulivyokubaliana na mume
wangu. Sio kwamba napenda0maisha ya ugoli kipa siyapendi kabisa
 
Cartura Hapo umeongea! Tena huyo mbaba ajtahd kuchakarka cio lazma uajriwe ndio maisha yasonge. Anaweza tafuta small busness yeyote na akawa anapata pesa ya kutosha kuhudumia familia.
nikweli ila kwasasahivi sijiwezi nasubiri kujifungua muda wowote,0hadi nijifungue kwanza
 
Mlango huu ukifungwa mwingine unafunguliwa, majaribu ni mtaji. Shikamana nae, mtie moyo atafute shughuli nyingine badala ya kuanza kulalamika na kujutia kukosa kazi
 
pole sana,mwisho wa kazi moja ndio mwanzo wa nyingine,kumbuka ulivyotoka katika tumbo la mamako hukuja na kazi,
Halafu huyo mtoto anakuja na rizki yake,mungu ni mwema anaruzuku nyoka sembuse binadamu,kikubwa kumwamini,kumcha na kumtegemea mtapata kuliko mnavyofikiria.
 
ucjali kusimamishwa kazi siyo kusimamishwa maisha, muombe mungu maisha yatasonga mbele
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom