nataka kuzaa na wewe aisee
anasema yuko njia panda ni ile pale ya himo au marangu mtoni!!!!
anasema yuko njia panda ni ile pale ya himo au marangu mtoni!!!!
Huyu dada inaonesha anasoma Ardhi university nimeshangazwa na usomi wake arafu anashindwa kujichagulia maisha nimesikitishwa na mwanamke msomi kama huyu tena mwenye kazi yake anakuwa kama anabahatisha maisha vile.Tafuta cha kwako we mwanamke ulinge nae ya nini uanze na maisha ya wizi wa wame wa wenzio shame on you,Atarogwa kwa kuendekeza nyege zake...dada white mpe mpe mpeeee za uso, wala siioni hiyo njia panda anayoisema,ninachokiona ni mwanamke mpu,,mba..vu.. asiye jua kupanga maisha ..
anasema yuko njia panda ni ile pale ya himo au marangu mtoni!!!!
anasema yuko njia panda ni ile pale ya himo au marangu mtoni!!!!
Hii njia panda yake ni ya either kwenda kuzimu or ahera.
Utajichafua wewenataka kuzaa na wewe aisee
Kwani wewe umezaa nje ya ndoa?ndoa ipi Poor katlego?Jamani matusi yenu hayasaidii jamaa amenambia anataka amweleze mkewe, mie nimekubali matokeo nitazaa na kumlea mwanangu kwani wangapi wanazaa nje ya ndoa zao? Its neither the first nor the last
anasema yuko njia panda ni ile pale ya himo au marangu mtoni!!!!
Smile povu la nini? Ushawahi penda wewe? For your info watu wengi wanacheza peku sikuwa na lengo la kuzaa naye imetokea tu na wala sitarajii kuolewa naye
Jamani matusi yenu hayasaidii jamaa amenambia anataka amweleze mkewe, mie nimekubali matokeo nitazaa na kumlea mwanangu kwani wangapi wanazaa nje ya ndoa zao? Its neither the first nor the last
dada white Je,unadhani ukipewa fursa ya kukutana na mke wa huyu Monster utamwambia nini? huyu dada alijitahidi kujizuia ila mzee huyu akatumia uzoefu wa umri wake, akamshinda katlego.na kwa hatua ilipofikia this poor katlego ni kama sikio la kufa, anaamini pia itakuwa rahisi kwa huyu mwanaume kumwambia mkewe kwamba katlego ana mimba yake.Ndiyo uone katlego alivyo immature kwenye suala la mapenzi.Huyu dada inaonesha anasoma Ardhi university nimeshangazwa na usomi wake arafu anashindwa kujichagulia maisha nimesikitishwa na mwanamke msomi kama huyu tena mwenye kazi yake anakuwa kama anabahatisha maisha vile.Tafuta cha kwako we mwanamke ulinge nae ya nini uanze na maisha ya wizi wa wame wa wenzio shame on you,Atarogwa kwa kuendekeza nyege zake.
home town meeen unafahamu langoyo!!!unakufahamu huku?
Hahaha another silly comment from you...
Hivi tukianza kutafuta watoka povu, lako si litajaza Jacuzzi la Baths za hoteli zote hapa mjini...
Sasa kama hutarajii kuolewa naye huo si tayari ni UAMUZI uliofikia!!
Kinachokufanya usumbue akili zetu kwa kutuhangaisha kukushauri kwa upuuzi ulioufanya we mwenyewe ni kipi??
Wewe hujitambui, na endelea kutojitambua...na OLE wako umrudie kaka wa watu aliyepo masomoni...Mungu atakushughulikia