Niko njia panda

Katlego ndugu umemruhu shetani kuutumia mwili wako kama silaha ya kumuumiza mwanamke mwenzio,how do you feel!!?halafu bado washupaa eti kumuacha huwezi?what do you expect?uwe mke wa pili?au amfukuze mkewe wa ndoa?unajua ni mateso gani mwanamke mwenzio anapata kwaajili yako?kweli adui ya mwanamke ni mwanamke mwenzie!wanawake type yako ndio reason why wanawake tunaitwa wajinga,kiukweli umenchefua!
 
Jamani mie nahitaji msaada wa mawazo kwani nilishatambulishwa nyumbani kwao bf wangu, kunitusi hakunisaidii mnazidi kunipa wakati mgumu tu
Kukutusi kunasaidia kufungua masikio ya ubongo wako.Una elimu ila haujaelimika.hapo unawaza chupchupchupchupchupi pamoja na elimu yako.Endelea kupiga naye kavukavu,ukidhani uko peke yako.Ukitaka ujue kama anakupenda kweli, hebu mwambie hujaona siku zako.
 
mbona ana mimba tayari kaandika humu,nimemuambia ajiandae kulia.
 
Azote ni kuwa nimepata ujauzito wa huyu mume wa mtu thats why nikasema kumwacha kwasasa haiwezekani

Aisee, binti tamaa mbaya unataka kuzaa na mume wa mtu poye we, ukishazaa anaenda kutafuta binti mwingine mbiiiiiiiiiiichi utabaki hapo unalea na kujuta. Mume wa mtu ni wa starehe tu bibie we unataka kujimilikisha pole sana utajuta kumfahamu siku si nyingi
 
NB:Kumwacha huyu mume wa mtu kwasasa haiwezekani.

Sasa tukushauri nini wakati uamuzi umeshaufanya? au unataka tukushauri uendelee kuzini?

mimi najiweka pembeni naepusha msongamano!
 
Its not what you think madam
ndo hivyo wewe hujitambui,si una mimba wewe zaa uanze kulea,utajuuuuuuuta,huyo mwanaume ni cheater jiulize mko wangapi?im 32 with 3 kids.You are only 24 kama ni kweli.maana umesema mlikutana 3 yrs ukiwa unamalizia mwaka wa nne na now una 24 yrs,ina maana degree ulimaliza ukiwa na miaka 20,kitu ambacho ni uongo kwa system ya TANZANIA
 

..dada white mpe mpe mpeeee za uso, wala siioni hiyo njia panda anayoisema,ninachokiona ni mwanamke mpu,,mba..vu.. asiye jua kupanga maisha ..
 
mpenzi wako hata yeye sidhani kama anakutaka tena.jiandae tu kuwa single parent. na nyumba ndogo ya jamaa kwa muda.maana ukishanyonyesha matiti yakishalala kama ya mkewe kwako haji tena anatafuta saa sita nyingine.
hivi kweli kwanini unatembea na mume wa mtu? tena una mpenzi? mimi pamoja na kukaa bila mpernzi muda mrefu sijawai kuharibu ndoa ya mtu.
wewe ni ibilisi,mume wa mtu unampa kavu kavu tena kwa kujiachia uhesabu tar wala nini? hivi alikuambia anataka mtoto au wewe kuvuliwa ch ukaamua kuhamia mazima kumletea hadi wajukuu?
 
Azote nimegraduate nikiwa 23 mwezi mei mwaka huu ntakuwa 25
 
Hahahah...yaani huyu mtu amenifanya nianze kuwafikiria mara mbili mbili wanawake, sina uhakika kama kweli akili yake ina uzima...nahisi ana upunguani

am swallowing a bitter pill right now
 
Azote ni kuwa nimepata ujauzito wa huyu mume wa mtu thats why nikasema kumwacha kwasasa haiwezekani

Bado siyo point ya kukushauri uendelee na mume wa mtu, miaka 24 ulikuwa hujui ukitembea peku utadungwa na mwiba hadi unaona uvimbe. Achana na mume wa mwenzio ila uombe fedha za kulea mtoto asiye na hatia uliyemzaa kwa sababu ya tamaa zako za mapenzi na kama una uwezo umlee mwenyewe.....Wewe mtoto hakuna haramu mia zinazozaa halali moja..........
 
Natumai utakuwa unanitambua kuwa naujua uhusiano wenu vizuri na nikiwa kama shemeji yako nakujulisha nyepesi tu kuwa mke wa rafiki yangu ameanza kuhisi kinachoendelea na muda si mrefu atakuja kujua usaliti mnaomfanyia,sasa jiulize kuwa akijua wewe utasimama wapi?Utaendelea kusafiri katika bati ya wapendanao huku ukijua kuwa dhoruba ikija utatoswa majini?
Tafuta wa kwako utaendelea kugegedwa mpaka lini?Mwenzako anakula mzigo mchana usiku anakwenda kwa mkewe,hivi kumbatio la usiku tena bila ya kuiba hulitaki?Fikiria adhabu za mjini unapofumaniwa zinakuaje halafu endelea kung'ang'ania waume za watu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…