Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
Kama ni starehe tumekula mno na stil tunaenjoy siyo kulala hotelin tu huwa anaspend the whole nit in my apartment hata jana kalala kwangu and he is a decent man msimuite monster and am not a young gal am matured enough
ushamwambia brfnd kwamba imekula kwake asongeshe na maisha yake?
Yaan mkuu hawezi kukuelewa hapo alipo, mm nina experience fmr my hubby. Wanaume nimewarespect kuliko kiumbe
chochote dunian. unajua alikuwa anatetea ndoa yake icvunjike..kama hana akili nzuri. Binti wa 23 yrs alikuwa
anachambuliwa kama karanga. the worse aliposema najishangaa huwenda binti aliniroga! Na mm nikawa na divide and
rule..yule binti nilipomsimulia hakuamini kama mwanaume aliyemwambiaga anampenda leo anamtusi..nikamwambia
chezea mume wa mtu ww. Mume avunje ndoa ya miaka 5/7 na watoto kwa ajili ya mtu ambae hamjui, hajui familia yk,
ukoo wake, n.k thubutuuuu.
Kama ni starehe tumekula mno na stil tunaenjoy siyo kulala hotelin tu huwa anaspend the whole nit in my apartment hata jana kalala kwangu and he is a decent man msimuite monster and am not a young gal am matured enough
Tulipima kabla ya kuanza kuhaves3x
kweri ule utamaduni wa kuwapeleka watoto unyagoni una umuhimu wake, sasa ona aka katoto kanashabikia umalaya wake,,, nyambafu kabisa wewe mtoto,, una miaka 24 unadandia waume za wenzio hivyo je ukifikisha umri wa 40 wewe mtoto sijui utakuaje yani???? azote teteeni unyago kwa hivi vimalaya au muwafunze humu jamvini
Jamani matusi yenu hayasaidii jamaa amenambia anataka amweleze mkewe, mie nimekubali matokeo nitazaa na kumlea mwanangu kwani wangapi wanazaa nje ya ndoa zao? Its neither the first nor the last
decent man??sio decent asingefanya upuuzi huo,nawewe unafurahia kabisa duu,decent halafu anafanya hayo,hata huko kazini sizani kama anaperforme??kweli kweli dada unaona ni sahihi hayo kweli?embu tafakari maisha yako mi sidhani kama unajua unachokitaka.kama ni starehe tumekula mno na stil tunaenjoy siyo kulala hotelin tu huwa anaspend the whole nit in my apartment hata jana kalala kwangu and he is a decent man msimuite monster and am not a young gal am matured enough
mtakaliaga hayo hayo na digital wenzenu tumeshawazika na wengine wapigwa wamechomwa na pasi za makalio kwa kufumaniwa na Me/Ke za watu!!
Hao analog ndo zilipendwa wako taratibu na ndoa na maisha yao.
Kama dgital imetoka ktk vifaa mmeiamishia ktk maisha ya wanadamu, serikali imeamishia mitambo yake dgtal na nyie mnahama?
Shame on u!!!!!!!
ah mume/mke wa mtu kitu gani bana
isingekuwa mume/mke wa mtu ,so ni kitu ,mhhhhhh.
laiti kila mdada/mwanamke angelijua kuwa waume za watu ni wasanii kuliko wasanii wowote wale chini ya jua, huko wataambiwa ya kuambiwa but mwisho wa siku anarudi kwa mkewe, hamuwaulizagi maswali ya ziada jamani? kwamba akisema hampendi sijui hivi na vile, kwanini msiwashawishi wawaoe sasa nyie mliopendwa? mnaishia kuzalishwa na kuachwa tu.
decent man??sio decent asingefanya upuuzi huo,nawewe unafurahia kabisa duu,decent halafu anafanya hayo,hata huko kazini sizani kama anaperforme??kweli kweli dada unaona ni sahihi hayo kweli?embu tafakari maisha yako mi sidhani kama unajua unachokitaka.
Habari zenu. Ni mwaka wa tatu sasa niko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu.nilikutana naye nikiwa nafanya dissertation kukamilisha mwaka wangu wa nne wa masomo chuoni, yeye alikuwa anamalizia masters yake, hivyo nilikuwa natumia muda mwingi library pale chuoni na yeye alikuwa anafika library kujisomea so katika harakati hizo ndipo tulipokutana na kufahamiana. Alinieleza ukweli kuhusu kuwa na mke na watoto na akaniomba tuwe wapenzi. Nami nilimweleza kuhusu kuwa na mpenzi aliye nje ya nchi kikazi. Sikumkubalia ombi lake nilimtaka tuwe marafiki tu,alikubali ila akanambia yuko tayari kunisubiri hadi hapo nitakapokuwa tayari kuwa mpenzi wake.tulispend some quality time pamoja kama friends hadi tulipograduate yeye akarudi kazini kwake nami nikapata ajira mapema kwa sapoti yake. Mwaka jana mwezi wa pili ndipo tulipo make love for the first time na tukawa wapenzi oficialy na ananipenda na kuniridhisha. Kadri muda ulivyokwenda nilijikuta nafall deeply in love na huyu mume wa mtu. Inshort nimepoteza mapenzi na boy wangu wa awali na nashindwa kumweleza ukweli nikihofia kumuumiza. Wandugu naombeni ushauri niko njiapanda.nimweleze ukweli mpenzi wangu ama nipotezee? NB:Kumwacha huyu mume wa mtu kwasasa haiwezekani.
Kama ni starehe tumekula mno na stil tunaenjoy siyo kulala hotelin tu huwa anaspend the whole nit in my apartment hata jana kalala kwangu and he is a decent man msimuite monster and am not a young gal am matured enough