Mipango yako ya baadae ni ipi? Kama ni kuajiriwa kwanini upoteze muda wako kwenda jkt ilhali uko guaranteed kuajiriwa ualimu? Soma alama za nyakati mkuu!
jkt utakaa miaka mingapi kabla hujaajiriwa? ....
na. Una mda gani sasa kabla ajira zetu kupangiwa?...
usiende kujiongezea miaka ya kukaa bila kitu mfukoni kijana......
SOMA ALAMA ZA NYAKATI !
Nenda tu ualimu ndugu yangu. Kama ukiwa mtu wa kujiongeza na ujasiliamali utatoka kimaisha... Ukifika huko fanya juu chini uvute ka loan angala ka M5 or so. Alafu wekeza huo mtaji wako kwenye biashara ya hardware. Uanze kuuza cement na mabati. In five years utakuwa umeshakuwa mfanya biashara mkubwa na hata hiyo kazi ya ualimu utakuwa unaifanyia wito tu... Trust me ukienda jeshi utakuja kujuta bdae...
Hapo ndo umemsaidia? Haya nirudi kwa mdogo Wangu anaeomba ushauri, kwanza anza na kwanini ulichagua ualimu na hiyohiyo sababu inaweza kukusaidia wapi uende. Kama hukwenda ualimu kwa kuupenda Ila ufaulu au kipato basi utakua rahisi kwako. Kama ni kipato subiri ajira kwa kutafuta tempo ila kama kwenu familia bora na unapenda jeshi nenda, ukiwa na nidhamu unatoka.