Niko njia panda, ushauri tafadhali

Pole sana mkuu. Ila kufanya mahusiano na Single mama nisawa na kujivika bomu lililosetiwa muda.
Kama umependa na unahisi upo tayari kuumizwa endelea na mipango yako ya kumuoa.
Pia kwa umri wake, bado sana kuexperience maisha yalivyo.
Shukran mkuu kwa ushauri
 
Asante mkuu kwa ushauri
 
That's true, let me decide about it...
 
sheria namba 1 usioe singo maza
sheria namba 2 usioe singo maza
sheria namba 3 usioe singo maza

kama unaona wanawake wameisha basi muoe tu ila usije hapa tena kufungua uzi.
Nashukur mkuu kwa kunikumbusha hilo
 
Shukran mkuu kwa ushauri
 
Hapa kuna mambo makuu matatu.

1.kwanza ana akili za kitoto (Kwa hapa simlaumu kwa kuwa umri wake bado 20's nahisi hata 25 hajafika mvumilie).

2.umechukua mke wa mtu hili ndo kosa lako , kwa akili yako kwamba unaweza mbadili fikra asimuwaze huyo mzazi mwenzie?

3.unampenda sanaaaaa.
 
Nyie ndo mnakuwa kama mifano ya kuwakumbusha wanaume wenzetu kwamba


Wazazi hawaachani
 

Acha undezi weweee, check video hzo
 
[emoji3578][emoji3578][emoji3581][emoji3581]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…