Niko njia panda, ushauri tafadhali

Pole sana mkuu. Ila kufanya mahusiano na Single mama nisawa na kujivika bomu lililosetiwa muda.
Kama umependa na unahisi upo tayari kuumizwa endelea na mipango yako ya kumuoa.
Pia kwa umri wake, bado sana kuexperience maisha yalivyo.
 
Ukweli ni mchungu lakini kuoa single mother ni kukosa ushauri kutoka Kwa wazazi/walezi wako.ukiwa nae ktk mahusiano anacholenga yeye ni namna atakavyokutumia wewe kumuendeleza mwanae ....kimasomo,mavazi na malazi. Upendo wao mkubwa huwa Kwa mwanae na ni rahisi Sana kubadili maamuzi pale unapochelewesha huduma.
Nilikua na single Maza mmoja alinisumbua Sana ila nyuma ya pazia bado jamaa aliemzalisha walikua na mawasiliano ya karibu.wana mengi yaliyojificha ila ukitaka kuharibu uelekeo wa maisha na maono yako basi uoe SINGLE MOTHER.
 
Mkuu ijapo kila mtu huwa bize kwenye kazi katika nyakati tofauti, lakini inapofika kwenye kupenda utajibu tu hata Kama ni kwa kifupi kumjulisha mwenzako ni muda gani utakuwa free, Ukiona unayefikiria anakupenda hapendi kuutumia muda unaopata hata Kama ni kidogo pamoja na ww, basi ujue hapo hamna kitu zaidi ya kwamba she is there for another mission not love
 
We jamaa bhana, hakuna mwanamke hapo, shtuka piga chini fanya mambo mengine
 
Hivi unawezaje kuumizwa moyo na singo maza?
Nafkiri umeipuuza ile kanuni yetu no 1 inayosema singo maza haolewi
 
Dawa hapo ni kumuacha tu kabla hajazid kukuumiza inaonesha unampenda sana
 
sheria namba 1 usioe singo maza
sheria namba 2 usioe singo maza
sheria namba 3 usioe singo maza

kama unaona wanawake wameisha basi muoe tu ila usije hapa tena kufungua uzi.
 
hakuna mwanamke alieolewa na kuzaa akaachana na mzazi mwenzie moja kwa moja! mawasiliano juu ya mtoto hayaishi na wanaweza kurudiana wakati wowote au wasirudiane!! hapo huna chako unachunwa tu, mbona wanawake wengi mtandaoni fb huko na mitaani! tafuta ambae hajazaa!!
 
Ukisema hivo unakosea mkuu,hakuwa kwenye ndoa bali alizalishwa tu mtoto na huyo mtu wake akamkimbia aliporejea ndipo naona mawasiliano bado yanaendelea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…