Niko njia panda, nisaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Niko njia panda, nisaidieni

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by One and Only, Apr 15, 2011.

 1. One and Only

  One and Only Senior Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Habari zenu great thinker, nina tatizo ambalo naamini naweza kupata msaada kutoka kwenu.
  Nina mpenzi ambaye tulifahamiana wakati wa shule yeye akiwa mwaka mmoja mbele yangu A-level lakini hatukuwa na ukaribu wala mahusiano, tukapotezana mpaka baada ya kumaliza chuo. Tukakutana tena kila mmoja wetu akiwa anafanya kazi na kuanzisha uhusiano wakimapenzi. Tatizo ni kwamba siku za mwanzo tu za uhusiano, mpenzi akawa ana lazimisha tuanze kufanya mapenzi tena bila kinga wakati mimi na yeye wote hatujapima, nilipomkatalia ndio akaanza visa mpaka leo, mara ananinunia wiki, hapokei simu wala kujibu msg zangu kwa madai kuwa amekasirika na kususa, mara yuko busy sana hawezi kuonana na mimi kwa kifupi haeleweki tena. Naomba ushauri wenu nifanyeje maana nampenda but visa vyake vinanichosha na nahisi hana mapenzi ya kweli na mimi, wadau nahitaji mawazo yenu. Nawasilisha
   
 2. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Kama hataki kupima achana nae "Ukimchekea nyani utavuna mabua"
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  wewe ni mkaka au mdada?
  bt woteva...nji ivi uyo MDAU WAKO HAKUPENDI YEYE ALITAKA MCHUNGULIANE TU NA ALE KONA FASTA
  SASA ulivyokuwa unamyeyusha ndo akanuna akaona ahh apa posibility ya kula mzigo hakuna ni bora nisepe

  afazali kasepa
  na ole wako nisikie unampigia simu tena nakwambia ntakuchapaaaaaaa ohoo ohoo dnt b victim wa ivo

  hakupend na wala akutak sasa cha kumpigia cm?
  MWENYE MAPENZ YA KWELI ALILIII PENZ KINGUVU..TENA ANAWEZA ASIGUSIE NA ATA AKIGUSIA NA UKIMWELELWESHA ALET FUJO ...
  UYO WAKO ALIKUJA KIKAZ ZAID BT NTHNG LOVE

  BYEEEEE...umenielewa lakin?
  ole wako umpigie simu ntakugecha ohpohooo!!!!
   
 4. One and Only

  One and Only Senior Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Asante likasu, kwa ushauri wako
   
 5. One and Only

  One and Only Senior Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Haaa haa Rose, thanks mpenzi, kuna wakati nakuwa na mawazo kama yapo but moyo unanidanganya, unaniambia dont give up, simpigii tena simu, naogopa utanichapa
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  dah nasikitka kwa kuitumia i sentens vbaya...na ntakuchapa kweli..
  so unaweza kulala kaburini ukimlilia mtu aliyekufa afufuke ukisema dnt gve up?

  in prio jamaa akupend a na akutaki

  yaan uhusiano wenu umebebwa au ulitaka ubebwe na sex...thats no jig jig no uhusiano...my dear thats isnt love

  uyo alikuwa na mingunga yake na angesafisha rungu apo wala usingemwona na ndo mana ukimpigia skuiz apokei cz anajua anachokitaka hakuna ,anaona unamyeyusha tu cz yeye ayupo kwako kukaa ni kupita shwaaaaaaaaaaaaa na ivi atak condom bas weee akipita shwaaa ashakuachia vrusi 8 na anasepa..WAKE UP SWEETIE

  uo ndo ukike na uo ndo uanamke bora gangamala na uwe na msimamo...dnt kugawa gawa ovyo PIPI YA BIBI...na mtu akijifanya km unip unipend bas minaondoka ...mwambie plsss naomba nkusindkize...ASEPE FASTA

  AKUPEND UYO ANATAKA MWILI WAKO TU SI KINGNE

  KM UPO TAYARA KUMEGWA NA KUACHWA
  KUDANDIWA PEUPE UKU UKIJUA UYU ANANIDANDIA TU NA KUSEPA BAS ENDELEA KUMPIGIA SIMU

  NA KWANZA UTARATBU GAN U WA WEWE KUMPIGIA SIMU JAMAA 24 7 WAKAT YEYE HANA MPANGO ATA WA KUKUBP?UWEZ KUSENSE APA STAKIWI?
  B A GARL,
  B ALADY
  WAIT FOR A GENTLEMAN ATAKAYEKUPENDA AS A WHOLE AND NOT SOME PART OF U

  nimekwambia usimpigie....
   
 7. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Rose80.......ndo maana hunipigii simu eeh? BUT hatukukubaliana kupima kwanza, si ndio?:love:


  Back to topic, hebu tuambie the One and Only, mmeshamegana kwa namna yeyote?
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0


  dah rr alifuta simu yako kwangu
  ebu nchek bas
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kuwa makini anataka akupe GROAN huyo halafu aingie mitini kama hataki mwambie akajivue MAGAMBA halafu arudi upya
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Pole lakini hata mtoto wa Primary skuli anaweza kukupa jibu la hili swali lako
   
 11. One and Only

  One and Only Senior Member

  #11
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  No hatujamegana, we just kissed thats all
   
 12. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu mgoma hiyo sepa na soma alama za nyakati
   
 13. One and Only

  One and Only Senior Member

  #13
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hoi thanks my dear, i think u made me see clearly hata kama nilikuwa najifanya kipofu, thanks a lot
   
 14. One and Only

  One and Only Senior Member

  #14
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Haaa haaa kweli alama hizo
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,813
  Likes Received: 83,206
  Trophy Points: 280
 16. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Japo sijui kama wewe ni g / b
  ila huyo si mwoaji/mwolewaji
  hapo yeye anataka mahusiano ya kivulini,
  safari ya mapenzi kwake inaendelea,
  ila kama unampenda na upo tayari kufanywa kivuli / pia kufanya ngono na usiyejua afya yake ikoje basi endelea naye,
  huku ukitarajia kupokea kwa furaha + au - pindi utakapoenda kufanya afya checkup.
  unajua kuna watu wanampenda mpenzi zaidi kuliko anavyojipenda yeye.
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Huyo anataka utamu tu atambae.
  Akili kichwani kwako.
  Kama unataka utengeneze nae future mwenzio hana habari.
   
 18. M

  Mary Glory Senior Member

  #18
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni kweli huyo hakufai.na nakupongeza kwa kujali afya yako.manake kupima ni swala la kwanza kabisa kabla ya mahusiano hayajafika mbali.usijali mungu atakupa mwingine atakayekupenda.pole sana
   
 19. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye red majuto mjukuu, tii hisia zako mydear
   
 20. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Vitu viingine ni kujifunza kusoma alama za nyakati, kama siyo alama hizo basi soma roho yako inakuwambia nini. Siyo swala la kukushauri wee kimbia na usigeuke nyuma utakuwa jiwe la chumvi kama mke wa Lutu.
   
Loading...