co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,569
- 2,584
Habarini wanajamiiforum,
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha sita mchepuo wa PCM 2016,nimebahatika kuupata div 2 ya point kumi,sasa katika kuchagua vyuo mimi napenda kusoma engineering UDSM ila watu wananishauri kama unataka kuwa engineer mzuri niende DIT.
Sasa wadau nisaidieni kunipanua mawazo malengo yangu ni kuja kujiajiri so nataka chuo ambacho ninaweza kupata ujuzi wa kutosha katika kozi zifuatazo electrical,computer engineering au mechanical engineering.