Niko Njia Panda: Namchumbia msichana mwenye mtoto lakini kwetu sitaki wajue ana mtoto

Ulofa huo, uwadanganyi kwenu Unajidanganya mwenyewe
 
Miezi nane iliyopita ulikuja hapa kuomba ushauri Dem kakufukuza kwake kakupangia nguo kwenye mabegi uondoke kwake.
Leo umekuja unasema yapata miezi nane upo kweny mahusiano na huyo binti kwao wanakutambua.

Bila shaka ni yule nesi kumbe ulimuachisha kazi ili umuwowe.
(Wanaume sisi wapesi kusahau..)
Umesahau alivyokufurusha na ki begi chako nyumbani kwake.
Ndg zako wapo sahh.
Hujui kakudanganya au kasema ukweli juu ya Baba wa mtoto.
Kama walishindwana nae wa kwanza ww utawezana na hapo nyuma ulifukuzwa mahali ulipo lipa mwenyewe kodi.
Hii kasheshe.

Wengi walikushauri vzr kupitia ule uzi.
Kwakua upo njia panda Hebu pitia huo uzi utajua njia ya kufuata.


Amenifungia nguo na kuweka kwenye begi eti nimpishe kwake japo kodi nalipa mimi
 

Attachments

  • Screenshot_20200529-222916_Chrome.jpg
    71.1 KB · Views: 3
kumekucha
 
Sikiliza nikudokeze mke mtarajiwa huwa tayari kujutia kwa sababu ya mapenzi.Kamwe hawezi kuendeshwa namzazi kitu gani akukontroo,haiwezekani mke mtarajiwa akuwekee sharti eti ukaongee na wazazi wako kuhusu mtoto wake and then ukiwa unawarekodi...!?.Endapo utakubaliana na wazo lake hilo huo ni undezi na uzwazwa,yeye kama mpenzi mnaotarajia kuwa wamoja mnapaswa kuaminiana.Ushauri wangu hapo kuna mawili aidha mke ni mdogo kiumri au amekughairi ndiyo anakuwekea vikwazo ili ushindwe muachane.
 
Miezi nane michache sana kujivika mabomu mkuu....tulia,punguza haraka,utajutia!
 
Kweli Mungu hakupi vyote 10mil. unampa mchumba tena mwenye mtoto bhebhe nyanda lekaghe bhusenge
Usichanganye ndoa na pesa siku zikikata nae tambua umemkosa nyambafu blali ccm wewe!
 
BAHARIA 70.3:6
 

Hapana ni majanga tuu. Wee kama kweli unasema huyo binti anafaa kuwa mke basi unawaambia wazazi ukweli simple as that.
Wazazi hawataki basi mzee u apiga chini binti u asikiliza wazazi. Papuchi zipo na zitaendelea kuwepo tuu.
 
Miezi 8,Umempa ten million harafu unasema ni wife material?
Ngoja nisome comments.
 
Mi sio kama na Mimi nawapinga single mother ila kama almost 90% ya wanaume wenzangu wanasema wanakuwa na matatizo mi ni nani ni argue


Akili kichwani mwako mkuu
 
Kuna ule uzi wa Mia Khalifa Mabaharia wanawish kwenda US kula top b*tches tunaowaona kwenye video, Halafu wewe unahonga single mother 10 M
kweli upele humpata asie na kucha SHENZYTYPE
anasbo mrangi
 
Unaanzaje kumwita binti wakati amezaa alaaah

Anaitwa binti na wazazi wake tu wengine watamwita binti.... Kwa mama yake au baba yake

Nyie vivulana vipi
 
Huyo mama yake binti ana hekima na busara sana. Kwann mumfiche mtoto?!

Kama ndugu zako hawatakubali mkae kitako mzungumze ili muweze kupeana namna ya kuitatua hiyo changamoto ila kitendo cha kusema uwafiche huo ni utoto na utafanya jamii yako ifeli kukuelewa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…