Niko Njia Panda: Namchumbia msichana mwenye mtoto lakini kwetu sitaki wajue ana mtoto

fabinyo

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,558
2,000
Unawekewa mashart na single mother? Ungekua karibu ningekunasa kofi la machoni.

Mtaani kuna mabint wazuri tu wamejitunza na wanahitaji kuwekwa ndani we unataka uoe engine iliyofunguliwa, umeniharibia asubuh yangu.

Najisikia vibaya sijafanikiwa kukunasa vibao machoni
We ukiona ushaanza kupata njia panda na safari ndio imeanza,huko mbele lazima upotee tu. Rudi nyuma,anza upya na njia nyingine
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
23,279
2,000
Tafta engine ambayo haijaguswa mkuu! Achana na hio iliopigwa spana. Najua utakapofungua mdomo tu kuwa unaoa mwanamke mwenye mtoto baba yako na mama watakuwa mstari wa mbele kupinga huo ujinga ndio maana unaogopa ila waeleze ukweli!
 
Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
2,998
2,000
Jf bhana ,hapa kila jamaa ana uwezo wa kumpa mchumba mtaji wa biashara tena kuanzia M5 mpaka 100 huko hakika JF kuna matajiri sanaaaaa kuliko mahali popote nchi hii
 
fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
2,843
2,000
waambie wazazi wako ukweli kuwa huyo mchumbacwako ana mtoto,na usiogope unayeoa ni weae sio wazazi wako
 
Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
4,036
2,000
Unawekewa mashart na single mother? Ungekua karibu ningekunasa kofi la machoni.

Mtaani kuna mabint wazuri tu wamejitunza na wanahitaji kuwekwa ndani we unataka uoe engine iliyofunguliwa, umeniharibia asubuh yangu.

Najisikia vibaya sijafanikiwa kukunasa vibao machoni
Danilodi avatar yake uinase vibao machoni
 
cymon taylor

JF-Expert Member
Apr 3, 2019
373
500
Ramli chonganishi

Kwanza huyo mpenzi wako hakupendi na amemkumbuka baba wa mtoto wake na huenda wameanza mawasiliano ya kujenga penzi lao
Hivyo kaona mbinu ya kuachana na wewe kwa amani ni kushinikiza uwambie wazazi wako juu ya mtoto aliyenaye.

Imani yake ni kuwa wazazi wako hawatokubari hivyo utakuwa umebariki safari njema juu yake.

Mama yake hawezi shinikiza juu ya hulo bali hayo ni mawazo yake tu ama ya marafik zake ili afanikishe wazo lake.

Kama kweli hilo ni wazo la mama yake bas huyo mama yake ndo hayataki mahusiano yenu basi ye kaona kete ya kushinda ni hiyo ya mtoto
Naona binamu umetoa la moyon
 
Baba wa Mapaka

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
1,214
2,000
Habari zenu, kuna binti niko naye kwenye mahusiano yapata miezi 8 sasa, nimefika hatua ya kutambulika kwao na yeye kutambulika kwetu,

Ila kipindi naanza naye mahusiano aliniambia Ana mtoto anaishi na Bibi, yaan mama yake msichana. Tukaendelea na mahusiano. Kadri nilivyokaa naye naona anafaa kabisa, niwe mkweli. Nikasema nyumbani kuwa nina mchumba wakafurahi, lakin nikihofia wakijua Ana mtoto nitakataliwa.

Baada ya kushibana kabisa nikaamua tuandae mshenga kwa ajili ya kwenda kusema. Akaniuliza kuwa lakin kwenu uliwaeleza kuwa nina mtoto. Nikasema hapana na mtoto wako ni kama wangu istoshe yuko kwa bibi huko tutamtunza tu kwa kuyatuma matumizi na ada ya shule akakubali

Tatizo likaja alipomweleza mama yake kakataa kata kata kwamba lazima mshenga aambiwe kuwa ana mtoto na akasema kwamba kwanza ameahirisha hataki kusikia habari za mshenga wala mgeni yeyote maana kashamchefua tiyari.

Binti akanirudia akiwa na machungu kwamba mama kakataa kasema tutashindwaje kusema kuwa ana mtoto? Pili Binti alimuelezea kuwa nimeshamshawishi kaacha kazi jambo ambalo ni kweli na nimempa mtaji wa 10M aanze biashara yake, lakin pamoja na hiyo mama kakataa

Binti kanipa mtihan kuwa niwaeleze sasa wazazi wangu ukweli na nirekodi wakati wa mazungumzo ajiridhishe kama ni ukweli. Pia kama sitafanya hivyo yeye anafuata familia yake inasemaje, na anasema kwamba anirudishie kila nilichompa aanze upya maisha huku akilia

Naombeni ushauri tunafanyaje, sitaki kwetu wajue , na ukizingatia tumeshaweka malengo makubwa
Daah mkuu una mapenzi ya dhati sana kwa huyo binti na inaonekana binti amekusoma kuwa ubampenda sana

Yaani anatoa instructions wewe unapokea kwa utekelezaji!

Nakushauri achana naye wapo mabinti wazuri tu na arudishe kila kitu kama anavyosema hicho kilio ni cha bure ila atakuvaa baadaye mkiendelea na mahusiano ndoa etc
 
Heaven Sent

JF-Expert Member
Sep 27, 2013
20,968
2,000
Huyo mama wa binti yupo sawa kabisa. Kwa nini mumfiche mtoto? Huyo mtoto ni laana, mkosi, kikwazo au kitu gani kwenu hadi mumfiche? Hivi mmewaza mtoto ataathirikaje once akijua anafanywa siri? Maana kwa style hiyo kuna sikj atakuja kuwatembelea afu mtaanza kumwambia amuite mama yake "shangazi". Afu kuna leo na kesho; bibi yake asipokuwepo hamtomleta kwa mama yake alelewe? Wewe unavyomficha huyo mtoto leo; uaetegemea huko mbeleni ikija kujulikana wazazi wako watampokea huyo mtoto kwa shangwe. Waambie tu ukweli wazazi wako ; kwa amani yenu na ya mtoto pia. Muwe na misimamo juu ya vitu mnavyoamua kuvifanya kwenye maisha yenu

Hakuna mtoto anayependa kuwa na hidden identity.
 
Joseph lebai

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
3,950
2,000
Habari zenu, kuna binti niko naye kwenye mahusiano yapata miezi 8 sasa, nimefika hatua ya kutambulika kwao na yeye kutambulika kwetu,

Ila kipindi naanza naye mahusiano aliniambia Ana mtoto anaishi na Bibi, yaan mama yake msichana. Tukaendelea na mahusiano. Kadri nilivyokaa naye naona anafaa kabisa, niwe mkweli. Nikasema nyumbani kuwa nina mchumba wakafurahi, lakin nikihofia wakijua Ana mtoto nitakataliwa.

Baada ya kushibana kabisa nikaamua tuandae mshenga kwa ajili ya kwenda kusema. Akaniuliza kuwa lakin kwenu uliwaeleza kuwa nina mtoto. Nikasema hapana na mtoto wako ni kama wangu istoshe yuko kwa bibi huko tutamtunza tu kwa kuyatuma matumizi na ada ya shule akakubali

Tatizo likaja alipomweleza mama yake kakataa kata kata kwamba lazima mshenga aambiwe kuwa ana mtoto na akasema kwamba kwanza ameahirisha hataki kusikia habari za mshenga wala mgeni yeyote maana kashamchefua tiyari.

Binti akanirudia akiwa na machungu kwamba mama kakataa kasema tutashindwaje kusema kuwa ana mtoto? Pili Binti alimuelezea kuwa nimeshamshawishi kaacha kazi jambo ambalo ni kweli na nimempa mtaji wa 10M aanze biashara yake, lakin pamoja na hiyo mama kakataa

Binti kanipa mtihan kuwa niwaeleze sasa wazazi wangu ukweli na nirekodi wakati wa mazungumzo ajiridhishe kama ni ukweli. Pia kama sitafanya hivyo yeye anafuata familia yake inasemaje, na anasema kwamba anirudishie kila nilichompa aanze upya maisha huku akilia

Naombeni ushauri tunafanyaje, sitaki kwetu wajue , na ukizingatia tumeshaweka malengo makubwa
Anaeoa ni weee

uamuzi ni wako , wazazi hawaingilii maisha yako ila ujue kuna siku mke wako atakuwa na mazungumzo ya faraga na mzazi mwenzie

yna2

JF-Expert Member
Aug 18, 2018
15,829
2,000
Doh! Sasa utaficha mpaka lini mpendwa..!??hiyo Ni ndoa yako nawewe ndiwe mwenye kuamua.
Ila huyo mwanamke mwenzangu nae🤔
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom