Niko Njia Panda Nahitaji mawazo yenu

Niko Njia Panda Nahitaji mawazo yenu

Mdanganye kwanza kwamba kuna jamaa anakusumbua anataka kupeleka barua ya posa kwenu ila humkubali,uone atareact vp
 
Nafanya kazi sehemu flani, nilikutana na huyu kaka kazini ni mtu anayenijali alishawahi kunisaidia kama pesa n.k hakuwahi kunitamkia kama ananipenda ila kuna vimaswali huwa ananiuliza kama hivi, (miaka ndo inaenda hivyo) hili swali bado sijaelewa huwa kamaanisha nini tulishawahi kupanga tutoke out lakini ilishindikana baada ya miaka kwenda ikanibidi nimtoe mimi siku io ilikuwa siku nzuri alifurahia sana na akuamini kama ni mimi ningekuwa na ujasiri huo...... mpaka leo ajawahi kuniambia chochote ila dalili za kunipenda kama zipo hivi ila ninachompendea huyu kaka ni ananijali sana pindi ninapokuwa na shida na kwa upande wa mahusiano alishaniambia kuwa hayuko na mtu yani hata kile anachokifanya kuhusu maendeleo yake ananishirikisha...... hivi je huyu mtu ananipenda au?
kama yuko hapa afunguke
Mtongoze tu huenda ni domo zege huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unasubiri mpaka akutongoze? utasubiri sana
 
Acha kupoteza muda anakupa pesa halafu unapiga piga chenga kama vipi mtongoze kikike.

"They may forget what you said, but they will never forget how you made them feel.”
Kama ulivyo niingilia mimi.

MGC
 
Acha kupoteza muda anakupa pesa halafu unapiga piga chenga kama vipi mtongoze kikike.

"They may forget what you said, but they will never forget how you made them feel.”
waoh, umerudiiii

thanks to god the almighty
 
We ni mwanamke na si wakike,mfungukie au wewe hutaki kuolewa?
 
Back
Top Bottom