interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,410
Mi ni Muhadzabe, kama yuko tayari aje hata ss hv huku porini[emoji41]
"Stand for the truth always stand alone"
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ni Muhadzabe, kama yuko tayari aje hata ss hv huku porini[emoji41]
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Ushaliwa tayari ww.
Upo kwenye INTERVIEW stuka hapo kama una ma tabia mabaya haswa hili li tabia la kuomba omba au kulia lia shida za kisenge kwa mwanaume linawafelisha sana kwenye INTERVIEW zetu za kutafuta mke.Nafanya kazi sehemu flani, nilikutana na huyu kaka kazini ni mtu anayenijali alishawahi kunisaidia kama pesa n.k hakuwahi kunitamkia kama ananipenda ila kuna vimaswali huwa ananiuliza kama hivi, (miaka ndo inaenda hivyo) hili swali bado sijaelewa huwa kamaanisha nini tulishawahi kupanga tutoke out lakini ilishindikana baada ya miaka kwenda ikanibidi nimtoe mimi siku io ilikuwa siku nzuri alifurahia sana na akuamini kama ni mimi ningekuwa na ujasiri huo...... mpaka leo ajawahi kuniambia chochote ila dalili za kunipenda kama zipo hivi ila ninachompendea huyu kaka ni ananijali sana pindi ninapokuwa na shida na kwa upande wa mahusiano alishaniambia kuwa hayuko na mtu yani hata kile anachokifanya kuhusu maendeleo yake ananishirikisha...... hivi je huyu mtu ananipenda au?
kama yuko hapa afunguke
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si umuulize mwenyewe kama anakupenda au la,.sisi tutawezaje kuusemea moyo wa mtu...?!
Miss youAcha kupoteza muda anakupa pesa halafu unapiga piga chenga kama vipi mtongoze kikike.
"They may forget what you said, but they will never forget how you made them feel.”
Yaani shogaangu MMU kuna mambo jomoniii...em tucheke sie akina yakhe😂😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vituko haviishi humu ndani haki.
Umeona gia ilivyobadilishwa angani?Yaani shogaangu MMU kuna mambo jomoniii...em tucheke sie akina yakhe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂me stakkki jomoniii😂😂gia ya mwendokasi anganiUmeona gia ilivyobadilishwa angani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chezea kudhalilika inabidi tu ujisafishe maana hamna namna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]