Niko Njia Panda... Msaada Please

Ndoa maana yake nini? kama maana yake financia comfort and unconditional love from one side basi mkubalie huyo wa kwanza. Kama maana yake struggling (financialy and emotionaly) together and finding comfort in mutual love basi mchague huyo wa pili.

ubarikiwe Roulette,
maana ya ndoa na mtazamo wake kuhusu ndoa ndipo jibu lilipo
 
Last edited by a moderator:
Ningekuwa mimi ningekwenda kwa Peter whwre my love lies. Pesa hutafutwa. Kwa John huwezi jua ipo siku pesa yaweza yeyuka. Kwangu mimi siwezi kabisa hata kukubali kushikwa mkono na lijitu nisilolipenda, sasa sijui kwenda nae kitandani inakuwaje? Halafu for the rest of your life. Gor for Peter please.
 
Ni bora Peter japokuwa wanaume wengi hawapendi kuoa wanawake wanaowazidi ki umri na kipato hayo mambo ya kuolewa na mtu usiyemfeel rohoni mwako kisa hela zake yalikuwa zamani! kama Peter atakuwa tayari kufunga ndoa mkubalie maana ndoa ni kusaidiana saidianeni kujenga familia pamoja. Kwa upande mwingine John huendani nae kama ulivyosema na hujawahi kuvutiwa nae kwa kipindi chote cha miaka 7 alichokuwa anakufukuzia hivyo hakufai.
 
nenda darasan wewe ng'eng'e imepinda hiyo

wewe asha unamatatizo kichwani, mara nyingi i m ver keen na wanawake kama wewe, wewe ni mbinafsi, mchoyo, mzandiki na unakisirani.

kwanza umesema wewe ni mkubwa ie wee ni mtu mzima, inavyoelekea hata muda wako kuelekea kunungaembe unakaribia, na hawa wote hawo na ambao hatuwajui umehangaika naoooooo! leo umekuja jf unaomba ushauri kumbe, majibu unayo! kama hukuwa na kajibu ..hapo kuu umejibujibu nini kutoa solution/umeintervene nini hapo katikati kwenye ushauri uliopewa? ee? jibu..

pili. john anapesa, ana familia na watoto kinachokuweka kwake kuwa njia panda ni tamaa gani..kiukweli hapa ..ushauri wangu

kwanza hukupaswa kumuweka john hapo, john ni kama wanaume kumi wanaokutongoza kila siku, mtoe , kwa kuwa tamaa na umero/uroho ndicho hasa kinachokuweka kwa mtu mwenye wanae, muache alee wane nawaheshimu sana wanaume wenye watoto wanaoamua kutooa kumkaribisha mwanmke ndani ya nyumba yenye watoto wa mwanamke mwenzake/

peter, una mawili, uamue ama uwe nae kugombana kwenye mahusiano ni lazma na kawaida. kama huna mpango nae muache na kataa, vinginevyo unakuwa wa kuchovywachovywa/ ovywaonywa..then peter mimi nina wasiwasi unamdharau vile hana kazi na mission town zake, ndo nikasema unadharau..kama unadharau hata akizaliwa mumeo mpya leo hutaishi nae. vinginevyo subiri uwe nunga embe! mimi sifichaji mtu:glasses-nerdy:
 
Kupitia michango iliyotolewa kwenye uzi huu nimeweza kujua motivation ya wanawake na wanaume wa kibongo katika relationship. Vote nyingi za kinadada zimeenda kwa John na hii inajieleza wazi kuwa kwa wadada wa siku hizi cha kwanza una nini then ndo unapendwa. Vote zilizoenda kwa peter ni chache na kigezo kikuu cha kuangushwa in unstable life financially! Duh kaazi kweli kwelii. Ngoja nami nijitume niwe kama John ili niwe nawang'oa kiulaini
 
da asiia dada yangu,peter ana watoto?watoto wa john wanaumri gani?kama boga tu hulipendi vipi ua lake?ukienda kwa john utamvuruga yeye na watoto wake,na kwa kuwa atakuwa anakupenda sana hataona kama unamvuruga,tafadhali muache john na familia yake MUNGU atampa mke atakae mpenda yeye na wanawe,kila la kheri na peter.
 
okay. very nice that u have admitted kuwa u dnt know wat u want. sasa lakufanya ni hili dada yangu. nina imani kuwa kila mwanamke anajua qualities gani angependa mume wake awe nazo ni natumaini wewe utakuwa wazijua; both physical and personality wise. next ni kujiuliza ni vigezo vipi unaweza ku-live without. hapa sasa ni muhimu wewe kuwa mkweli to ur self failure to that utachagua wrong person. pia lazima ujiandae kuwa kuna posibility kuwa wote wawili wanaweza kuoneka kuto kukufaa. na hapa ndio changamoto kubwa inapokuja. all the best
 
Mkuu mwenzangu,

Niko hai hai, naitwa na wajukuu niwasaidie wasitoane macho. Nimeweza kusoma posts 2 tu, ile ya mleta mada na hii ya kwako.

Sina objection...John is my big choice....Maisha hayahitaji pressure kama hizo za Peter.

Ila mbaya zaidi na kadri ya kwa principles zangu, si jambo zuri mdada kuolewa na mdogo wake.

Nitarudi tena asubuhi kuwasalimia......

Babu DC!!

Haya haya haya........... Kongosho where are you @? Kura ya tatu na ya mwisho ya Veto ishamuangukuia Pita. We utakuwa matron kwa harusi ya Da Asia. Mi ntaukwaa ubestman wakati babu mwenzangu DC atakuwa mshenga. Ikumbukwe kuwa sauti ya DC ni sauti ya mungu mdogo.

Leo saa 11 jioni tukutane Fyatanga kwa ajili ya kikao cha maandalizi. Ukizingatia kuwa Da Asia ni bikira, harusi lazima ifanyikie Ikulu ndogo.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, Asprin umepinda, umenichekesha sana.

Eti Da Asia ni bikira???


HAya bwana tukuitane leo kupanga bia ziwe kreti ngapi, na mbuzi wangapi.

Haya haya haya........... Kongosho where are you @? Kura ya tatu na ya mwisho ya Veto ishamuangukuia Pita. We utakuwa matron kwa harusi ya Da Asia. Mi ntaukwaa ubestman wakati babu mwenzangu DC atakuwa mshenga. Ikumbukwe kuwa sauti ya DC ni sauti ya mungu mdogo.

Leo saa 11 jioni tukutane Fyatanga kwa ajili ya kikao cha maandalizi. Ukizingatia kuwa Da Asia ni bikira, harusi lazima ifanyikie Ikulu ndogo.
 
Last edited by a moderator:
narudi badae kidogo

Nilisema ntarudi sababu nilikuwa nakumbuka hii story hapo chini, nadhani huyu ni Peter.

Si kila mwanamme anaweza ndoa, Peter ulishampa nafasi na akashindwa kuitumia, je unadhani sasa kaenda okota wapi akili ya kuwa mume?

Endelea na John, mapenzi yatajiset huko huko mkiwa ndani, wakati mwingine tunajifunza kupenda.

Really Kongosho tunajifunza kupenda hata kama hatupendi? Si vema kufanya mkataba na mtu usiyempenda na si vema kufanya mkataba na mtu asiyeeleweka. Hapo aingie barabarani tu na kuendelea kutega antena zake vizuri
 
Last edited by a moderator:
Ndahani, bora akatege antena barabarani upya.

Ila kumbuka, husband materials ni wachache mno ila kama anaweza kula hata akina 'marioo' aanze kuasaka.

Angekuwa hampendi kabisa asingemtatiza.
Really Kongosho tunajifunza kupenda hata kama hatupendi? Si vema kufanya mkataba na mtu usiyempenda na si vema kufanya mkataba na mtu asiyeeleweka. Hapo aingie barabarani tu na kuendelea kutega antena zake vizuri
 
Last edited by a moderator:
Ndahani, bora akatege antena barabarani upya.

Ila kumbuka, husband materials ni wachache mno ila kama anaweza kula hata akina 'marioo' aanze kuasaka.

Angekuwa hampendi kabisa asingemtatiza.

Husband material mbona wako wengi tu? Ila wa kileo ni tofauti na sisi wa kizazi kile. Pamoja na hayo Kongosho, ukiona mtu anaenda asipopenda basi hiyo commitment itakuwa mgogoro mkubwa maana moyo ni moyo tu. Halafu inawezekana kujifunza kumpenda mtu?
 
Last edited by a moderator:
Nyumba kubwa kukufafanulia tu ni kuwa wote wana watoto. John anaishi na watoto wake. Peter nae ana watoto lakini wanaishi na mama yao. kwa sasa yeye anaishi mwenyewe ila anasomesha watoto wake wakiwa kwa mama yao, pamoja na matumizi anatoa.


Ningekushauri umkubali Peter lakini maelezo yako ya sababu za nyie kuachana na wakati wote mliumia hayaingii akilini

Je kama wote ni watu wa hasira mnadhani mtadumu kwenye ndoa?

Huyo mwenye kids wala sikushauri, ingawa inawezekana hata Peter ana watoto si alikuwa na mke au yeye hakuzaa. Na umesema Peter ni mdogo kwako; uoni hiyo ni sababu ya yeye kukudengulia na kwenda kuoa wa umri wake yalipomshinda ndio anakukumbuka. Be careful. Asijekuwa anakurudia umlee.

Jaribu kutafuta kwingine; achana nao wote.

"Kuna mwingine, huyu namuita Peter. Peter yeye, tuliwahi kua na mahusiano miaka kama mitano iliyopita ambayo yalidumu kama miaka miwili na kiasi fulani. Tulipendana sana mpaka tulipewa majina mji huu. tukatofautiana kidogo sana na kitu cha kijinga mno, sababu ya kila mmoja kua na hasira na mwenzie, tuka break-up. niliumia na yeye naamini aliumia sana"
 
samstevie, pesa ya John wala hainiweki njia panda, maana hapa nilipo kwa sasa niko juu kiasi fulani and not because of him. kama nilivyosema mwanzo, nina maisha yangu mazuri tu kwa effort yangu mwenyewe. namshukuru mungu sijawahi kuishi kwa kufanyiwa bali najifanyia mwenyewe, upo sam...?

Sorry jana sikukujibu kwa wakati niliondoka humu jamvini, umenijibu nisu ni vipi JOHN akuweke njia panda na wakati humpendi na huoni kama unaweza kupata shida mbeleni?
 
Nyumba kubwa kukufafanulia tu ni kuwa wote wana watoto. John anaishi na watoto wake. Peter nae ana watoto lakini wanaishi na mama yao. kwa sasa yeye anaishi mwenyewe ila anasomesha watoto wake wakiwa kwa mama yao, pamoja na matumizi anatoa.
umenena vyema kama peter ana watoto na maisha yake ni ya kuungaunga pia kwako ni mdogo kiumri hapo anatafuta mteremko loh! Hakufai jaribu kumfikiria upya John kama ataweza kukaa rohoni pia naona bahati yako ni mbaya jaribu upya kutafuta mwenza achana nao wote.
 
Back
Top Bottom