Niko njia panda: Mimi ni masikini na ninayempenda kwao ni masikini zaidi

Maleven

JF-Expert Member
Sep 8, 2019
642
3,025
ukweli nampenda huyu mwanamke na naamini nae ananipenda, natamani tuje kuishi pamoja(mke na mume), mimi natoka familia masikini(naweza sema sana) ila mwenzangu amezidi.

nimejitoa kua kwa lolote nijitahidi kwa kadri nitakavyoweza, ila kuna muda kuna kasauti kananijia kua haya majukumuni makubwa sana hovyo kama kananishawishi ni stop.

Silelewi. ingawa kwa asilimia kubwa moyo unanituma kukomaa nae as long personally tuna match.
 
Huyo ndio mnaeendana ... tajiri hatakupenda chalii yangu hata akikupenda msichana familia yake itakudharau na kukuchukia sana...tafuta... badili maisha yako na ya huyo mtarajiwa wako...kila la heri..mabaharia huku bado tunabinya binya na kuonja tu...
 
Back
Top Bottom