Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,419
- 4,111
Uko wapiShikamoon wakubwa kaka,dada zangu na wengine.
Mmh Leo Nina furaha nimeamka tangu alfajir najikuta Nina mudi ya kazi ,mpaka saa moja kamili nilishamaliza kila kitu kuanzia kifua , kufanya usafi wa nyumba na kila kitu.
Na nilivyopekeyangu leo basi tu najikuta mwenye furaha hata sijui inasababishwa na nini,huenda Mungu kaamua kunipa upendeleo leo,ila mbona kama kuna kitu namisi?
Yaani furaha haikamiliki,ngoja nijipumzishe Kwanza Kwa najua shetani anaweza kuniharibia , zawadi hii ya leo.
Karibuni wanajukwaa tufurahi
Niwapenda mdogoenu❤️❤️❤️
Natamani tushiriki wote hiyo furahaShikamoon wakubwa kaka,dada zangu na wengine.
Mmh Leo Nina furaha nimeamka tangu alfajir najikuta Nina mudi ya kazi ,mpaka saa moja kamili nilishamaliza kila kitu kuanzia kifua , kufanya usafi wa nyumba na kila kitu.
Na nilivyopekeyangu leo basi tu najikuta mwenye furaha hata sijui inasababishwa na nini,huenda Mungu kaamua kunipa upendeleo leo,ila mbona kama kuna kitu namisi?
Yaani furaha haikamiliki,ngoja nijipumzishe Kwanza Kwa najua shetani anaweza kuniharibia , zawadi hii ya leo.
Karibuni wanajukwaa tufurahi
Niwapenda mdogoenu❤️❤️❤️
Karibu myNatamani tushiriki wote hiyo furaha
Niko home nimelalaUko wapi
Taja mkoa nije nijitafunieNiko home nimelala
Tabata kinyereziTaja mkoa nije nijitafunie
Mmmh,naogopaLeo Kweli Furaha Sana
Tafadhali Ni DM Tuendeleze Ulipoishia Wewe
😊😀😆😄🤣💘Mmmh,naogopa
ila mbona kama kuna kitu namisi?
Yaani furaha haikamiliki,ngoja nijipumzishe Kwanza Kwa najua shetani anaweza kuniharibia
Kumbe nawe umo!Leo Kweli Furaha Sana
Tafadhali Ni DM Tuendeleze Ulipoishia Wewe
NakujaTabata kinyerezi
Hapana MkuuKumbe nawe umo!
KaribuNakuja
Mmmh0713457374