Wana chitchat mlioko jiji a mbeya niko hapa leo ni mitaa gani nizungukie mizuri maana naona jiji limepoa sana
Tembelea Hospitali ya Rufaa ya Mbeya.
Kila la Heri.
neda sehemu hizi
1.uzunguni, forest mpya na block t kwa vitu vizuri nyumba hadi watoto wakarez.
2.mwambie dereva akushushie sinde nenda magereza ulizia duka la magereza vitu bei cheee!!!
3.night club nenda maisha club karibu kabisa na tawi la chuo cha mzumbe mbeya ama nenda carnival club maeneo hayo.