Niko Mbeya mjini

Niko Mbeya mjini

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
802
Nahitaji mkopo WA sh laki 8, kulipa ndani ya mwezi 1, yaani January 28 ,2015. Riba at least 15%. Use Mbeya, ili tuandikishane mkataba, uje na home pia.
Karibu
Npm
 
mkuu riba at least 15% au unamaanisha 'at most 15%'? Kwa masharti yako hayo ntakupa huo mkopo kwa riba ya 25%,,
 
mkuu riba at least 15% au unamaanisha 'at most 15%'? Kwa masharti yako hayo ntakupa huo mkopo kwa riba ya 25%,,

OK, tufanye isizidi 20%. Kama yawezekana basi tuwasiliane, niko Mbeya mjini, New Forest, Karibu na Hotel ya New Forest Corner Hotel. Nadhani uko Mbeya, kama ndivyo NiPM tujadili zaidi.
 
Back
Top Bottom