TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,235
- 22,572
Tangu nimepigwa kibuti mwezi wa nane sikutamani tena kuwepo kwenye uhusiano.
Lakini sasa najisikia nina hamu ya kupendana. Tena nimpate wa kumpenda kwa dhati, nimpe moyo wangu wote, awe rafiki yangu na furaha yangu.
Tucheze wote mvuani, tuangalie pamoja jua likiwa linazama, akiumizwa tulie pamoja, akitoka niwepo pembeni yake kama handbag.
Dah...
Kweli mapenzi raha, nimemiss mapenzi
hapo buluu ni mapenzi au mchezo wa kihindi?
haya ya kihindi kaka.....kukimbiza kwenye maua....jamaa anaenda ka anataka kum kiss halafu anakwepa
Tangu nimepigwa kibuti mwezi wa nane sikutamani tena kuwepo kwenye uhusiano.
Lakini sasa najisikia nina hamu ya kupendana. Tena nimpate wa kumpenda kwa dhati, nimpe moyo wangu wote, awe rafiki yangu na furaha yangu.
Tucheze wote mvuani, tuangalie pamoja jua likiwa linazama, akiumizwa tulie pamoja, akitoka niwepo pembeni yake kama handbag.
Dah...
Kweli mapenzi raha, nimemiss mapenzi
manaeno matamu hayo ..
tatizo ni kwamba hayakai kwa muda mrefu...
ni mwezi mmja tu... halafu kila kitu ni kinyume cha hapo.....
hapo bluu, kinyume cha wapi? lol
hapo buluu ni mapenzi au mchezo wa kihindi?
Hapo ndipo tunakoharibu sasa................umpe mwenzio moyo wewe ubaki na nn?
hapo buluu ni mapenzi au mchezo wa kihindi?
mmmhhhh na we umeanza??
ni kiyume cha hayo maneno matamu lol....😛arty:
hili neno "maneno matamu" sjui kwanini nikiliona linaniongezea hamu. sjui nikaanzishe sredi JF Doctor , nazani nina marazi.
hehehe huyo jamaa bado anavuta oksijeni hapa duniani?Kumbe bado wana act kwa style hii...................nimemsi Amitabh Bacchan!
hehehe huyo jamaa bado anavuta oksijeni hapa duniani?