Niko Kenya nataka kuongeza muda wa passport

bunazi

Senior Member
Nov 24, 2014
116
90
Jamani wana jf niko nairobi kenya nilikuja kimatibabu sasa passport yangu ya muda imeisha na sifahamu nianzie wapi ubalozini penyewe nimegoole nimeona mtaa ulipo ila sipafahamu na Weekend hawafanyi kazi swali langu sasa wadau ni kwamba tofauti na ubalozini sehemu gani nyingine naweza kuongezewa muda wa passport.
 
Seriously? Shughuli hiyo ni ya ubalozini tu fanya ufanyavyo ufike huko utasaidiwa.
 
Na kama utaondoka j3 hamna neno uombee tu hapa kati usipatwe na shida itakayohusisha mamlaka za nchi.
 
Mtafute Mbunge wa Jimbo la Starehe, Bw. Kigeugeu Jaguar Charles Njaguna, yupo maabusu hapo Nairobi Central Police.
Huyo akikupa go ahead then muulize ubalozi wa Tz mahali upo
 
Na kama utaondoka j3 hamna neno uombee tu hapa kati usipatwe na shida itakayohusisha mamlaka za nchi.
Nimesikia pale mjini panaitwa ambassador kuna sehemu wanatoa ndo sababu nimeuliza kama kuna mtu huenda anapafahamu
 
Hata kutumia ndege bado utavuka mpaka - Passport control - pale uwanjani. Watakuuliza sababu za kuzidisha siku lakini maelezo yako yanajitosheleza kukuruhusu kutoka.
 
Ngoja Jaguar amalizie kula harage rumande.Akitoka kamuulizie akupe utaratibu, uone utakavyopigwa mpaka uchakae na kipigo Cha umbwa Koko.

Nasema hivi "utapigwa tu"
 
Usipate wasiwasi upo katika Grace period ,hutochukuliwa hatua yoyote ya kisheria jumatatu nenda mkoani,wilayani, kwa ajili ya kufanya extension.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom