Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,590 Reaction score 28,761 Jan 29, 2014 #1 Jamaa kamdanganya mchuchu wake kuwa anasomea HOTEL MANAGEMENT. Siku moja huyo bidada akamkuta jamaa anaosha vyombo kwa MAMA NTILIE. Mtoto wa kike ikabidi aulize "beby vp mbona uko hapa? Jamaa bila woga akajibu "NIPO FIELD"
Jamaa kamdanganya mchuchu wake kuwa anasomea HOTEL MANAGEMENT. Siku moja huyo bidada akamkuta jamaa anaosha vyombo kwa MAMA NTILIE. Mtoto wa kike ikabidi aulize "beby vp mbona uko hapa? Jamaa bila woga akajibu "NIPO FIELD"
M malezu Member Joined Oct 26, 2013 Posts 73 Reaction score 19 Jan 29, 2014 #2 Hahhahaa, field kwa mama ntilie