Niko dilema nishaurini

hiyo kitu rahisi saana

huyo keshajifunza makosa ingawa ni kiburi
mrudishe dar ila umpangie tena chumba
akianza ukorofi tena beba mtoto kamfiche.....au tokomea tu na mwanao
 
wewe una akili ila mwanamke wako bado hajitambui na hajui ugumu wa maisha. Kwa matumizi aliyokuwa nayo naweza sema anazidiwa akili ht na baby sitter wangu.
 
Mkuu umemshauri vzuri Sana..
 
Mi nilijua kaamishia vtu kwa mcheouko kumbe kwao.Mludishe bna,makosa madogo madogo km ayo husameheka mkuu.Tena hakikisha unamtafitia na kazi au hata kumfungulia kiofis kidogo ili ajitegemee kiuchumi.
 
Nakushauri uishi na huyo mwanamke kwa ajili ya mtoto,uwe mkali na usimruhusu akupande kichwani,yaani amri moja kama jeshini sababu anaonekana ni mapepe au kilaza,kwa hiyo nguvu ya ziada itumike kumfundisha maisha na Mungu atakubariki
 
Nakushauri uishi na huyo mwanamke kwa ajili ya mtoto,uwe mkali na usimruhusu akupande kichwani,yaani amri moja kama jeshini sababu anaonekana ni mapepe au ******,kwa hiyo nguvu ya ziada itumike kumfundisha maisha na Mungu atakubariki
una akili sa nyingine
 
Achana na huyu mama kwanza umewaendekeza sana mkuu...
 
Siku zote huwa naamini wanawake ni tv screen na wanaume ni remote, mwanaume unatakiwa kumfanya mwanamke aishi unavyotaka, ukimsikiliza sana anaweza kukufanya uishi na kuuamini ujinga wake, shaauri wangu;
  • mwanamke hatakiwi ukali sana wala upole sana. Akikukosea kasirika kweli na hakikisha amejuta kukukosea,
  • ukifanya jambo ukaamini halijampendeza muombe msamaha na ajue umejuta kweli,
  • akikufanyinyia jambo la kufurahisha basi furahi sana na ajue kuwa amekufurahisha.
  • Jifunze kusamehe pale anapoonesha kujutia kosa, na kasirika mara 100 zaidi pale anaporudia kufanya kitu ulichomkataza na akajutia kukifanya.
  • Mwisho na la msingi zaidi be a gentleman, usishirikishe watu wengine katika migogoro yenu, kuwa mkali kwa yeyote anayeingilia migogoro yenu, mkeo akikukosea awe yeye responsible na wewe ukimkosea uwe wewe responsible, sio kila mtu ni wakumwomba ushauri kisa ni mama/dada/kaka. Wengine maisha yamewashinda na hakuna wanaloweza kuwashauri.
 
Pole.Una options mbili.Fuata taratibu za kisheria uchukue mtoto ulee,au subiri afikishe miaka saba ,umri ambao mtoto aweza kuishi na baba ili umchukue.Usimuoe mwanamke kwa kumuhurumia tu.Ndoa imara inajengwa juu ya upendo wa dhati ,sio huruma.
 
Mimi nakushauri kachukue mtoto mana huyo hawezi kumlea anakutesea mwanao tu halafu maneno ya huyo mama mkwe yasikuumize mana nae ni kama mwanae hawajielewi,ukiendelea na huyo mwanamke utajuta zaidi ya hapo ndomana unaambiwa kosea namba ya simu ila si mwanamke wengine akili zao zina tetenasi.
Ndomana katika maisha unaweza kuwa na mwanamke/wanawake wazuri ila utakaekuja ishi nae mpaka marafiki/ndugu/jamaa wanashangaa labda tanesco walizima umeme wakati unachagua ila hawajui kama una vigezo vyako ambavyo umeangalia ikiwemo upstairs yupo vizuri hata kama si msomi ila awe mwelewa..
 
Well said!
 
HII NI SHIDA HASWA MKUU ,UPO KWENYE MAJARIBU USIMRUHUSU SHETANI AKUTAWALE MAWAZO YAKO NDIO MAAMUZI YAKO
 
Pole sana
Msamehe maana hata ukikaza kamba anayeumia zaidi na sana ni mwanao
 
Embu lea mwanao mpka umri wa kisheria then mchukue achana nae huyo dada
 
Mkuu pole sana,mtoto si Nguo utanunua mpya fata taratibu za kisheria kusanya strong evidence peleka uyo mama mahakamani utapewa mtt wako,kosea vyote Mkuu usikosee ndoa
 
Naungana na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…