Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,760
- 3,858
Ungana na wauza korosho
ujitambui mkuu mwenye pesa afundishwi matumizi
Nenda fesibuku. Huku jf umefata nini?
Navyojua miji iliyokaa ki-transit usitegemee kupata chochote kizuri kwa hivyo unavyotaka. Wao wamejiweka kuhudumia watu wa haraka haraka sio outings.Hello JF,
Niko nafanya tour. Tumeshuka hapa na private tunaelekea Dar for sikukuu lakini naona pamepoa kiaina.
Wenyeji mnishauri niende wapi.
- Kiwanja kizuri cha kustarehe
- Kiwanja cha pombe kizuri
- Kiwanja cha misosi hatarii
- Sehemu nyingine amazing n.k
Niwekee code
#+255
# -OH
nk
Labda ungesema uko Chalinze na uende katika 'Kilinge' gani ( kipi ) cha Waganga wa Kienyeji Ukaroge / Ukaturoge tungekupa Mrejesho wetu upesi ila Kuulizia maeneo ya Starehe ( Bata ) Chalinze ni sawa na Kuulizia 'Gesti' za Kufanyia Uzinzi na Uzinifu ( Kubanduana ) Saudi Arabia au Vatican City.Hello JF,
Niko nafanya tour. Tumeshuka hapa na private tunaelekea Dar for sikukuu lakini naona pamepoa kiaina.
Wenyeji mnishauri niende wapi.
- Kiwanja kizuri cha kustarehe
- Kiwanja cha pombe kizuri
- Kiwanja cha misosi hatarii
- Sehemu nyingine amazing n.k
Niwekee code
#+255
# -OH
nk
Sehemu za kufugia Bata atapata..Hivi chalinze kuna sehemu za bata kweli?