Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,039
- 110,708
Tangu nianze kumiliki smartphone na umri wa miaka 25 Huwa siweki simu mfuko wa suruali niliyovaa na kutembea nayo haswa simu janja.
Nikifanya hivyo TU huo mguu niliyoweka simu mfukoni unapatwa na moto Tena haswa kuzunguka eneo iliyopo simu.
Tuanze na swali la huwa unatumia simu gani kwanza?
Maana inawezekana unatumia low end terminals ambazo zina-discharge battery na ku-emitt joto kama pasi...