Nikiweka simu mfukoni, mguu unawaka moto

Nikiweka simu mfukoni, mguu unawaka moto

Adolph Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
6,273
Reaction score
10,126
Wasalaam.

Ni kitambo Sasa namiliki simu haswa smart phones (Simu janja).

Tangu nianze kumiliki smartphone na umri wa miaka 25 Huwa siweki simu mfuko wa suruali niliyovaa na kutembea nayo haswa simu janja.

Nikifanya hivyo TU huo mguu niliyoweka simu mfukoni unapatwa na moto Tena haswa kuzunguka eneo iliyopo simu.

Sijafahamu ni kwangu TU ama kwa watu wote na Je ni kawaida ama Kuna dalili za hatari.

Simu zangu Huwa naweka kwenye begi wakati natembea mtaani siziweki karibu na mwili.

Je, Kuna mtu Hali hii inamkuta pia?
 
Simu hua inaoverheat?
Mwanzoni Samsung s7 ilikuwa Ina overheat ila nilibadili nikatumia S10, tecno spark 10 pro, na matoleo mengi TU ya Samsung mfano A20 na A10 zote hizo tatizo ni Hilo Hilo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom