Nikiwahi kulala nachoka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikiwahi kulala nachoka!

Discussion in 'JF Doctor' started by Kimbori, Apr 25, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,733
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Huwa nakuwa mchangamfu na nguvu ikiwa tu kama NILICHELEWA KULALA. Nikilala saa 23:30 au 23:45... usiku na kuamka saa 05:20 huwa najisikia vizuri sana siku inayofuata. Je kwa nini? Na je kuna madhara?
   
Loading...