Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Mji wa Florence Italy ndo mji wa kwanza kupiga mji mzima paving mwaka 1339, leo hii ukitembelea nchi zilizoendelea ni nadra sana kukuta miji yao inavumbi,
kama wao wameweza na sisi Tanzania tunaweza
Miji kama seoul, Beijing, Tokyo ni mikubwa sana, inawatu wengi dar cha mtoto ila ukiambiwa utafute vumbi kwenye hio miji ni ngumu sana labda uènde kwenye Garden, kama wao wameweza na sisi Tanzania tunaweza
Mimi nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisha miji ya Tanzania mikubwa na midogo itapigwa paving baada ya nchi nzima kupimwa na hili linawezeka na