NIKIVAA CONDOM NAPOTEZA HISIA

Kwahy tuseme mwanaume kulala na mkewe ni hadi wawe na hitaji la kupata mtoto? Mana wakilala kikawaida hiv ni onanistic act
Hapana, kufanya tendo la ndoa sio lazima lengo liwe kupata mtoto pekee. Malengo/sababu/kanuni ya tendo la ndoa ni:

01: Kuendeleza uumbaji

02: Kuleta umoja (muungano) baina ya wanandoa

03: Usafi wa roho na mwili; kwa maana tendo hili liendane na mpango wa Mungu.

04: Lifuate sheria ya maumbile ya asili (natural law).

Tendo hili litumie viungo alivyoviumba Mwenyezi Mungu kwa ajili ya tendo hili. Lisifanyike kinyume na maumbile, n.k.

Onanism ni pale tu coitus interruptus inapotokea basi.

Soma kitendo alichokifanya Onan kwenye Kitabu cha Mwanzo 38:9
 
Usifanishe chama pendwa na vitu vya ajabuajabu ndugu
Acha nyeto mkuu hisia na kusimamisha n vitu viwili tofauti, kama hausimamishi ukivaa ndom bas una tatzo la misuli kulegea, fanya mazoezi na uhame chaputa haraka sana
 
Hata kifo kinakukaribia we chezea moto tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…