NIKIVAA CONDOM NAPOTEZA HISIA

Mtego wa shetani huo
Hakuna demu wa kwenda nae peku peku
Kama uwezi ...basi subiri hadi ndoa ili ukiwa kule ufe kifo cha samaki
 
Mimi nikivaa condom nakuwa kidume kwelikweli,naweza nikakojolesha Mara kibao mimi bado tu,nisipovaa dakika sifuri tu bwaaaaaaaaa
 
Nakubaliana na wewe.

Kwahy akioa, mbegu hazitamwagwa nje kama ilivyozoeleka, kwa misingi ya mafundsho yako..ipoje hii
Sina uhakika Kama nimeelewa swali lako vizuri.

Lakini, shida ya mleta mada ni kuwa hawezi kudindisha vizuri anapovaa kondom. Kwa maana nyingine, anapo-sex bila kondom anakuwa vizuri tu.

Sasa, suluhisho pekee ni kutokutumia kondom, maana ndio inayomletea shida na ambayo kwa Mafundisho ya imani yangu pendwa kabisa - Kanisa Katoliki; matumizi ya kondom na kushiriki tendo la ndoa nje ya ndoa ni dhambi.

Ndio maana nikamshauri aoe ambapo kutokutumia kondom ni salama kwa kiwango kikubwa lakini pia sio dhambi.
 
Heri yako mimi nikivaa kondom huwa namuona mzee ila nikiuza mechi namuona binti
 
Acha nyeto mkuu hisia na kusimamisha n vitu viwili tofauti, kama hausimamishi ukivaa ndom bas una tatzo la misuli kulegea, fanya mazoezi na uhame chaputa haraka sana
Acha kukariri maisha kunatofaut kubwa kutumia kondomu na kavu wala chaputa haihusiki
 


Usihofu, wewe jipigie tu bila kinga uongeze maisha marefu hapa duniani.
 
hisia zako ndogo ongeza msisimkooooo kama wa coca. kitu mpaka kinafukaa.
 
Mimi nikivaa condom nakuwa kidume kwelikweli,naweza nikakojolesha Mara kibao mimi bado tu,nisipovaa dakika sifuri tu bwaaaaaaaaa
kukojolesha hakuna mipaka chief kula nyama acha kula na vifungashioo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…