NIKIVAA CONDOM NAPOTEZA HISIA

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,712
Reaction score
1,661
Wakubwa shikamoo, wadogo malahaba. Naomba msaada wa kijuzwa kama nina tatizo la kiafya au ndo yale matatizo yetu yaliyosuka? Mimi nikitoka na mwanamke ata kama ni mzuri kiasi gani, nikivaa condom tu basi haisimami tena mpaka niivue. Asanteni sana ndgu zangu naamini mtansaidia.
 
Mvalishe yeye kondom ndo uipige
 
Unatafuta MOTO ww !
 
Kama hujaoa ni mzee wa chapa ilale na unadai mpira haukupi mzuka bora utulie tu kwanza bila hivyo kitakukuta kitu.
 
Zamani watu kama wewe mlikuwa mnaitwa hermaphrodite
 
Unavaa ili iweje au nini unatafuta ..........achana nazo
 
Acha nyeto mkuu hisia na kusimamisha n vitu viwili tofauti, kama hausimamishi ukivaa ndom bas una tatzo la misuli kulegea, fanya mazoezi na uhame chaputa haraka sana
kumbe wewe ulihama mkuu?
 
Dahhh minimeachana nakondom cz zinabana balaaa yan hata hazinitoshi mpaka niijaze maji litanuke ndolinakubali kuvaliwa ila haina hata raha sababu inakaza mishipa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…