Nikiumwa nitatibiwa na Rais?

Kwan ww unaumwa,au unakad ya ccm,kma unayo anakulpia 2,na km utak katiba ibadilishwe anakutbu bla tatzo.
 
Acheni ROHO MBAYA wenyewe mlisema oh Rais kamtumia na kumtupa kama KONDOM leo hii Rais ameamua mwenyewe kwa utu wake kumhudumia kimatibabu mnaleta mtimanyongo. asante sana Rais Kikwete kwa msaada unaompa huyu kijana. watu wanajisemea tu kwa vile hawajamuona laivu hali yake. mngemuona mngemshukuru yeyote anayejitolea kumgharamia matibabu hata kama ni Free Masonry. Rais wetu mungu akuzidishie kwa sababu una guswa na taabu za watu wadogo kama kina Mgonjwa Vengu. Mungu akukumbuke Vengu uamke upone.
 
Back
Top Bottom