Nikitaka kujua namba ya simu inatumika wapi au mkoa gani

ugido

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2014
Posts
421
Reaction score
104
Habari wana jamii forum nahitaji kujua namba ya simu inatumika mkoa gani maana ndogo wangu nimempabhelabya Ada aende shule anasoma dar-es-slaam lakini ameonekana kahama ameondoka Ana wiki lkn jana kaonekana kahama na nimempigia jana akasema ye yuko dar lkn leo tena kaonekana kahama naomba msaada wabkujua namba hiyo inatumika wapi?
 
Dhuuuuu kama n wa kike ww
Jiandae tu kupokea mbuz
 
Si atarudi tena kwa ada ya temu inayofuata, sasa aendelee kutoa tu?
Yes halafu huyu jamaa kama.vile anafanya utani ina maana hana namba za waalimu huko shule anaposoma awaulize mtoto ame report
 
Ada si umeshalipa?muache atavuna alipandacho, nna uhakika yupo katika age ambayo kumbadilisha ni ngumu sana
 
Habari wana jamii forum nahitaji kujua namba ya simu inatumika mkoa gani maana ndogo wangu nimempabhelabya Ada aende shule anasoma dar-es-slaam lakini ameonekana kahama ameondoka Ana wiki lkn jana kaonekana kahama na nimempigia jana akasema ye yuko dar lkn leo tena kaonekana kahama naomba msaada wabkujua namba hiyo inatumika wapi?
Tafuta mtu anayefanya kazi NMC/NOC ya kampuni husika.. AU switch ya kampuni husika utampa namba then atakwambia. Lakini siku hizi hayo makitu ni kama access wamepewa watu wachache sana.... KUNA JAMAA WA TIGO ILIWAKOSTI HII KITU KWA KUWEKA MAWASILIANO YA WNASIASA WAZI NA YAKACHAPISHWA MAGAZETINI... kwamba fulani alwasiliana na fulani akiwa sehemu fulani saa fulani...
Unaweza usipate
 
Habari wana jamii forum nahitaji kujua namba ya simu inatumika mkoa gani maana ndogo wangu nimempabhelabya Ada aende shule anasoma dar-es-slaam lakini ameonekana kahama ameondoka Ana wiki lkn jana kaonekana kahama na nimempigia jana akasema ye yuko dar lkn leo tena kaonekana kahama naomba msaada wabkujua namba hiyo inatumika wapi?
Kama ni voda nipe namba pm.
Kabla kesho saa 2 asubuh

Ila kama cyo voda acha.
 
Back
Top Bottom