billduke JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 861 Reaction score 901 Jul 29, 2014 #1 Kwa wale wapenzi wa series ya Nikita ambao hawakuiona imerudi tena season 4 ya mwisho..Itafute uicheki
Kwa wale wapenzi wa series ya Nikita ambao hawakuiona imerudi tena season 4 ya mwisho..Itafute uicheki
MamaBeata JF-Expert Member Joined Apr 15, 2013 Posts 325 Reaction score 112 Jul 29, 2014 #2 Ntaitafuta. Naifatilia niliishia season ya tatu
xfactor JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 1,511 Reaction score 1,290 Jul 29, 2014 #3 billduke said: Kwa wale wapenzi wa series ya Nikita ambao hawakuiona imerudi tena season 4 ya mwisho..Itafute uicheki Click to expand... Mkuu mbona hiyo season 4 imetoka mwaka jana November ukaishia episode 6
billduke said: Kwa wale wapenzi wa series ya Nikita ambao hawakuiona imerudi tena season 4 ya mwisho..Itafute uicheki Click to expand... Mkuu mbona hiyo season 4 imetoka mwaka jana November ukaishia episode 6
billduke JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 861 Reaction score 901 Jul 29, 2014 Thread starter #4 Mkuu nimeiona huku ktk sky living wameirusha imeanza season ya 4. Maana nilikuwa sijaiona nawapa taarifa na wengine wasioiona
Mkuu nimeiona huku ktk sky living wameirusha imeanza season ya 4. Maana nilikuwa sijaiona nawapa taarifa na wengine wasioiona
Nyaluhusa87 JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 1,303 Reaction score 262 Jul 30, 2014 #5 MamaBeata said: Ntaitafuta. Naifatilia niliishia season ya tatu Click to expand... Ipo na imetoka tokea mwaka Jana!!zipo episode Sita tu na ndio imeisha kabisa!!ninazo kama upo dar nitafute nikupe Sent from my iPhone 4s using JamiiForums
MamaBeata said: Ntaitafuta. Naifatilia niliishia season ya tatu Click to expand... Ipo na imetoka tokea mwaka Jana!!zipo episode Sita tu na ndio imeisha kabisa!!ninazo kama upo dar nitafute nikupe Sent from my iPhone 4s using JamiiForums